Mfikiri
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 586
- 124
Mie tajiri wa Roho!
Nimeipenda sana.
Mie tajiri wa Roho!
WA MAANA NI MENGI TU WENGINE WANATIA VINYAAAAAAAAAAAAAA.....WANAJALI MATUMBO YAO TU.....
Reg Mengi ni MWENYE BUSARA NA MPENDA MASKINI.....
_ Ndugu, wala sio kuibiwa, ni namna vizazi vya watu wengine walivyo amka mapema na kuchangamkia fursa. Ni kujipanga tu, hata wewe unaweza kufanikiwa ukawa juu, watu wataanza kusema ya kwao.
Wakinga wana pesa hadi kupeleka benk wamechoka.
Wakinga wana pesa hadi kupeleka benk wamechoka.
give us their fortunes....Haya majina nimeyapa kwenye mtandao kuwa ni top 20 ya matajiri wa Tanzania. Je mali zao wamepata kihalali?
1. Said Bhakhresa 2. Mohamed Dewji 3. Yusuph Manji 4. Reginand Mengi 5. Mh. Mkono 6. Mwanamboka 7. J. Patel 8. Mh. Chenge 9. Mh. Lowasa 10. Mh. M. Shabiy
Yule Shehoza wa Tanga simuoni hapa au kuna upendeleo ?