Honestly,ni wizi.km sio wa kuonekana kwa macho ni wa kuiba nafsi za watu kutajirika.
List ya matajiri au wezi ndugu?
Kwa upande wangu mimi Dr. Ulimboka.
List ya matajiri au wezi ndugu?
Kwa upande wangu mimi Dr. Ulimboka.
Mbona kila kitu unatazama kiudini tu?japo unaongea point'faham kuwa wengne tunakereka sana na hii style ya kutazama mtu kwa dini'kwa sbb tz yetu tumesoma na tumekuwa pamoja bila kujali dini zetu'na mpaka sasa wengi wetu tuna marafiki ndugu majirani wadini zote'badilika hii nchi sio ya kidini na wala haiwezi kuwa ya kidini hata siku 1
mbona mizengo pinda simuoni
Yaani Mama wa Nyumbani Fida Hussein (mkewe rais mwinyi) ni tajiri kuliko Mengi, Rostam, Manji, Lowassa, Patel, Dewji, na ni mke tu wa Ali Hassan Mwinyi tena hajawi kufanya kazi (labda zile Kokeni zilizotaka kumtoa roho mrema) halafu tunawatafuta mafisadi wengine wapya? Mwinyi majengo anayajenga kwa chenji ipi? Loliondo? Jamani Wazanzibari hawahui kuiba, wao wanajichulia na ni mwiko kumzuia au kumkosoa
Rothschild family (German Jewish origin) ni dynasty ambayo haitawahi kutokea.Hakuna tajiri anayepata hela zake kihalali.Nikutonye,ubabaishaji duniani na hatimaye kuishia kwenye utajiri ulianzishwa na watu kama DuPont,Rockefeller,Rostchild na bankers wakubwa unaowajua na wengine wengi.Wall street ni genge la matapeli wanaopata pesa out of nothing,mere speculation.Federal Reserve na Bank of Englang ni institutions za matapeli, getting money out of nothing.Ni wezi wa mchana kweupe.The list is long.
Mimi penda hiyo
Comment kama hizi si za kiungwana hata kidogo
huu ni ukosefu wa busara ni bora kukaa kimya.