Matajiri wa Tanzania hawa hapa!!!

Haya majina nimeyapa kwenye mtandao kuwa ni top 20 ya matajiri wa Tanzania. Je mali zao wamepata kihalali?

1. Said Bhakhresa 2. Mohamed Dewji 3. Yusuph Manji 4. Reginand Mengi 5. Mh. Mkono 6. Mwanamboka 7. J. Patel 8. Mh. Chenge 9. Mh. Lowasa 10. Mh. M. Shabiy







give us their fortunes....
 
mnakuwa kama mnalilia pesa ambazo hamjui hata chanzo chake kwahiyo ulitaka bakhresa aje kwenu apige hodi kisha amwage mihela, wabongo bhna kaz kuongea tu nanyie fanyeni kaz mpate hela kama wanajitolea hiyo ni huruma yao na inategemea na moyo wa mtu wala sio lazma, shwain sana!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom