Maswali yangu 10 kwa Nape Nnauye

kamsi kilelo

Member
Mar 27, 2017
78
146
1. Kwa nini Mwenzie Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa alikuwa akitweet VIJEMBE badala ya kuvishauri vyombo vya habari kuongeza ushirikiano katika vita hiyo?

2. Yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo je ni mtu wa kutoa ushauri kwa serikali kupitia Twitter?
Mmmh! hainingii akilini! (kuna analojaribu kutengeneza)

3. Kujiamini na kumdharau BOSI wake kwa pozi (BODY LANGUAGE) ndio maadili ya uongozi?
Sipati picha yeye ndo ungekuwa mkuu! MUNGU AEPUSHE MILELE.

4. Kutembea JUU YA AKINA MAMA kwa elimu yake na ufahamu wake, hata kama ni mila hivi hizo ni mila za kuendeleza KWA ELIMU YAKE?

5. Kuzidisha vijembe kwa serikali ambayo YEYE alikuwa ndani ya BARAZA LA MAWAZIRI kwa miezi 15 alishindwa kuongea huko na kutetea hoja zake hizo au ni kutafuta UMAARUFU WA KISIASA?

6. Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE?

7. Makonda ni MTEULE WA RAIS; Je, alipounda tume aliitaarifu mamlaka yake ya nidhamu? KUTOTAARIFU NI UTOVU WA NIDHAMU.

8. Kama alimtaarifu na kupata baraka REPOTI HIYO ALIPASWA KUISOMA KWA WAANDISHI WA HABARI AMA KUIRUDISHA KWA MAMLAKA YAKE YA NIDHAMU KWA AJILI YA MAAMUZI? Sio taratibu za kazi HATA KIDOGO!

9. Kushindwa kumsapoti Makonda kwenye swala nyeti na KUMKURUPUKIA MPAKA KUMUUNDIA TUME kwenye swala ambalo angemuita ofisini wakaulizana kabla, hakuona kama ni kutudhitishia trend kwamba WANA UGOMVI BINAFSI?

10. Hivi kweli yeye NNAPE NNAUYE ndo aliinua CCM mpaka ikashinda 2015??? Mmmh! Kama hivi ndivyo aende CHAUMA na kishinde 2020 kuthibiisha yeye ni JESHI LA MTU MMOJA.

WASALAAM! NAWAZA ILA MAJIBU NIMEKOSA!
 
We si kibaraka, hujiamini au ni njaa inakusumbua, wewe ni mtu hatari! Nape anajiamini, Rais siyo Mungu ni mtu kama wewe na mimi, tumempa nafasi awe kiongozi wetu maana wote hatuwezi kuwa viongozi, siyo Mungu. All MEN are fallible, NO MAN is infallible!
 
Nashindwa kumuelewa Nape! Saizi ndio kakutwa na uchungu mwingi zaidi na wananchi! Au ndo ameshushwa saizi Tanzania kutoka kusikojulikana?
Kutumika na wenye pesa ni shida sana, utauza utu wako na hata kuonekana huna maana tena katika jamii. Ajitafakari upya, siasa anazozifanya sasa ni za chuki na kutoheshimu sera ambazo yeye mwenyewe alihusika katika namna moja ama nyingine katika kuzitengeneza.
Tuamini lipi kutoka kwake? Amekua kigeugeu eti serikali haitendi haki kwa wananchi wake, mara ooh! maisha ya wananchi yamekuwa magumu!
Turejee nyuma kauli za viongozi wa vyama vya sasa hapo siku za nyuma na kuona wanachokiongea sasa ndipo utagundua mtu huyu anafanana na nani na anafanya hayo yote kwa maslahi ya nani?

[HASHTAG]#Katika[/HASHTAG] Awamu ya nne: Rais Kikwete ameshindwa kuwashughulikia Watendaji wazembe, Mafisadi na Wala rushwa,,,,Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa Raisi Kikwete, Atakaye Muunga mkono Lowassa katika uchaguzi ndani ya CCM anastahili kwenda kupimwa akiri yake Milembe Hospital,Rais wetu Kikwete anasafiri sana kuliko Rais yeyote Duniani, Tunataka Rais ajaye awe ni mwenye Maamuzi makini na sahihi ya papo kwa papo nasio mpaka tume iundwe. Tunataka Rais ajaye awe ni Dikteta ndio nchi Itakwenda.Mafisadi kwetu ni Mwiko, Serikali ya CCM inawafunga wezi wa kuku halafu inawaacha Mafisadi papa kama Lowassa yanatembea mtaani tu.. Hizi ni Miongoni mwa kauli kutoka kwa viongozi wa Upinzani katika Awamu ya nne.
 
1. Kwa nini Mwenzie Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa alikuwa akitweet VIJEMBE badala ya kuvishauri vyombo vya habari kuongeza ushirikiano katika vita hiyo?

2. Yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo je ni mtu wa kutoa ushauri kwa serikali kupitia Twitter?
Mmmh! hainingii akilini! (kuna analojaribu kutengeneza)

3. Kujiamini na kumdharau BOSI wake kwa pozi (BODY LANGUAGE) ndio maadili ya uongozi?
Sipati picha yeye ndo ungekuwa mkuu! MUNGU AEPUSHE MILELE.

4. Kutembea JUU YA AKINA MAMA kwa elimu yake na ufahamu wake, hata kama ni mila hivi hizo ni mila za kuendeleza KWA ELIMU YAKE?

5. Kuzidisha vijembe kwa serikali ambayo YEYE alikuwa ndani ya BARAZA LA MAWAZIRI kwa miezi 15 alishindwa kuongea huko na kutetea hoja zake hizo au ni kutafuta UMAARUFU WA KISIASA?

6. Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE?

7. Makonda ni MTEULE WA RAIS; Je, alipounda tume aliitaarifu mamlaka yake ya nidhamu? KUTOTAARIFU NI UTOVU WA NIDHAMU.

8. Kama alimtaarifu na kupata baraka REPOTI HIYO ALIPASWA KUISOMA KWA WAANDISHI WA HABARI AMA KUIRUDISHA KWA MAMLAKA YAKE YA NIDHAMU KWA AJILI YA MAAMUZI? Sio taratibu za kazi HATA KIDOGO!

9. Kushindwa kumsapoti Makonda kwenye swala nyeti na KUMKURUPUKIA MPAKA KUMUUNDIA TUME kwenye swala ambalo angemuita ofisini wakaulizana kabla, hakuona kama ni kutudhitishia trend kwamba WANA UGOMVI BINAFSI?

10. Hivi kweli yeye NNAPE NNAUYE ndo aliinua CCM mpaka ikashinda 2015??? Mmmh! Kama hivi ndivyo aende CHAUMA na kishinde 2020 kuthibiisha yeye ni JESHI LA MTU MMOJA.

WASALAAM! NAWAZA ILA MAJIBU NIMEKOSA!
Tatizo la vyama vyote vya siasa ni hili la kutaka watu wote wafikiri sawa. Ukifikiri tofauti tu unakua adui kwa muda mfupi tu
 
Nape kwa kutokuwa na busara kajimaliza kisiasa . Muda si mrefu hakuna atakae mkumbuka tena !
 
... Nape anajiamini, Rais siyo Mungu ni mtu kama wewe na mimi, tumempa nafasi awe kiongozi wetu maana wote hatuwezi kuwa viongozi, siyo Mungu. All MEN are fallible, NO MAN is infallible!

If you know and believe that "All MEN are fallible, NO MAN is infallible" then Nape ought to live as a fallible man.

Umekubali mwenyewe kwamna Rais "tumempa nafasi awe kiongozi wetu" basi ni budi tumheshimu yeye kama yeye, na madaraka yake kama Rais. Kumdhihaki kwa aina yoyote ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu kabisa.
 
Pamoja na mapungufu yaliyopo serikalini lkn mbinu anayoendelea kuitumia Nape kujifanya ana machungu sana na wananchi na etu kuwa anajiamini na ndo maana katumbuliwa ni udanganyifu mkubwa sana. Nape hata akihamia upande wa pili siyo mtu wa kuaminika na wala hana huko kujiamini anakojisingizia. Mwanasiasa anayeweza kutumiwa kiurahisi kama Nape ni muhimu kuwa naye makini hata akijifanya kuhamia upande wa pili baada ya kupata sifa asizostahili toka kwa watu wachache wasiomjua vema (eti akisingiziwa ni shujaa). Hana na hajui anachosimamia na kupigania. Kiufupi, ni miongoni mwa walioturudisha nyuma kama taifa.
 
If you know and believe that "All MEN are fallible, NO MAN is infallible" then Nape ought to live as a fallible man.

Umekubali mwenyewe kwamna Rais "tumempa nafasi awe kiongozi wetu" basi ni budi tumheshimu yeye kama yeye, na madaraka yake kama Rais. Kumdhihaki kwa aina yoyote ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu kabisa.
Mwengeso, nakuona kama una ka shule kiasi, na mimi nina ka shule kadogo vile vile. Katika syllogism, lazima tu define terms zetu ili tuweze kufikia logical conclusion! Sasa tudefine KUDHIHAKI, then from there we can argue if the president is mocked (anadhihakiwa)... all in all, nadhani kumwambia mtu ukweli siyo kumdhihaki labda the way unavyomwambia mtu. Najua CCM , your opponents wakisema ukweli, mnasema dhihaka. Mfano, hivi kweli yale aliyoyasema Mkuu kule Kagera yalikuwa yakusemwa na mtu halafu watu wasitoe maoni? Ukisema 1+1=1 katika normal/natural mathematics (matrimonial mathematics 1+1=1) halafu mtu akakwambia kuwa hujui hesabu utasema amenidhihaki? Hayo ndiyo yanayotokea yanayoitwa kudhihaki!
Jaribu kudefine dhihaka kama una muda anyway!
 
1. Kwa nini Mwenzie Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa alikuwa akitweet VIJEMBE badala ya kuvishauri vyombo vya habari kuongeza ushirikiano katika vita hiyo?

2. Yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo je ni mtu wa kutoa ushauri kwa serikali kupitia Twitter?
Mmmh! hainingii akilini! (kuna analojaribu kutengeneza)

3. Kujiamini na kumdharau BOSI wake kwa pozi (BODY LANGUAGE) ndio maadili ya uongozi?
Sipati picha yeye ndo ungekuwa mkuu! MUNGU AEPUSHE MILELE.

4. Kutembea JUU YA AKINA MAMA kwa elimu yake na ufahamu wake, hata kama ni mila hivi hizo ni mila za kuendeleza KWA ELIMU YAKE?

5. Kuzidisha vijembe kwa serikali ambayo YEYE alikuwa ndani ya BARAZA LA MAWAZIRI kwa miezi 15 alishindwa kuongea huko na kutetea hoja zake hizo au ni kutafuta UMAARUFU WA KISIASA?

6. Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE?

7. Makonda ni MTEULE WA RAIS; Je, alipounda tume aliitaarifu mamlaka yake ya nidhamu? KUTOTAARIFU NI UTOVU WA NIDHAMU.

8. Kama alimtaarifu na kupata baraka REPOTI HIYO ALIPASWA KUISOMA KWA WAANDISHI WA HABARI AMA KUIRUDISHA KWA MAMLAKA YAKE YA NIDHAMU KWA AJILI YA MAAMUZI? Sio taratibu za kazi HATA KIDOGO!

9. Kushindwa kumsapoti Makonda kwenye swala nyeti na KUMKURUPUKIA MPAKA KUMUUNDIA TUME kwenye swala ambalo angemuita ofisini wakaulizana kabla, hakuona kama ni kutudhitishia trend kwamba WANA UGOMVI BINAFSI?

10. Hivi kweli yeye NNAPE NNAUYE ndo aliinua CCM mpaka ikashinda 2015??? Mmmh! Kama hivi ndivyo aende CHAUMA na kishinde 2020 kuthibiisha yeye ni JESHI LA MTU MMOJA.

WASALAAM! NAWAZA ILA MAJIBU NIMEKOSA!
Hapo namba 6, siwezi kubishana na wewe, you are blind, totally biased!
 
Kaa utafakari vizuri maswali yako kama umeuliza kwa nia ya kujenga utapata majibu mazuri kuliko majibu ambayo ungejibiwa na unaye muuliza.
 
Back
Top Bottom