Maswali ya kizushi

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Hii ni homerowk unaweza kufanya kama classwork

  1. Tanzania ina wizara ngapi?
  2. Kila wizara ina wastani wa Idara ngapi. Watsani?
  3. Kila idara ya wizara x ya serikali ikichangia milioni 50 kufanikisha "mawasilino" ya kupitisha bajeti ni wastani wa shilingi ngapi kila wizara inatumia kufanikisha "mawasiliano" ya bajeti?
  4. Je bajeti ya serikali nzima inatumia shilingi ngapi kwa ajili ya "mawasiliano" haya?
  5. Kwa kuwa wabunge wanahitaji mawasialiano nje ya mfumo wa bunge ili kuelewa bajeti unapendekza serikali ifanye nini ili "mawasilano" haya pia yatumike kwa wananchi. Itenge shilingi ngapi kuwasiliana na wanachi.
NB.
unaruhusiwa kutumia calculator na vyanzo vingie kupata majibu
 
Muulize kikwete

Kikete na hata mkapa sidhai kama walijua hata wakisafiri nje pesa zinatoka kwenye kifungu gani cha fedha. hata kwa jina tu hawajui.

Achana na magamba, utaumia dogo langu.

Mkuu kuumiza akili muhimu Waati watu tumekomaa na waaizra na nishati tujiulize hizo wizara nyingine bajeti zake zilizopita wametumia shilingi ngapi kwa kazi hiyo hiyo.

Inawezekana Nishati walitenga fungu dogo tofauti na wizara nyingine au walitenga fungu kubwa sana mpaka wapokeaji wakashtuka kuwa ni mtego...

Kwa hiyo ni muhimu Great thinkers wote tujaribu kufanya reseaach na kujiliza maswali magumu ni kiasi gani cha pesa serikali imetumia kwa style hii.
 
Back
Top Bottom