Maswali ya KIjinga,yakijibiwa vizuri

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Q: Umenyoa nywele?
A: Hapana, nimebadilisha kichwa.

Q: Hiyo simu umenunua?
A: Hapana nimeitengeneza mwenyewe.

Q: Utakula mboga na nini?
A: Mdomo

(Simu inaita usiku,then aliyepiga anauliza)
Q: Nimekuamsha?
A: Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.

Q: Gazeti la leo linasemaje?
A: Sijaongea nalo.

Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?
A: Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.

Q: Hiyo ni ajali?
A: Hapana ni driver ameamua kupark gari upside down.

Q: Umepause movie?
A: Hapana wamechoka kuact wanarest.
 
hahahahahahahah aaaaaaah asante kwa kunfnya nicheke coz kuna mtu alikuwa kanikera nikanuna toka monie naongea na key bord 2 hhahaha jamani mbavu zangu itabidi kesho nizifanyie REPAIR maana kuna file hazifunguki
 
Hahahaha n kama ndan ya daladala

KONDA NA ABIRIA Abiria-kuna siti au
unaniambia tu nipande?
Konda-hao wengne
wamekalia ndoo!
#**#** Abiria-hebu punguza saut
redio!
Konda-sheria za nchi
zinatushnda 2zifate na
zako? Hebu tupunguzie
misheria ***#*
Abiria-ondoa gar bwana!
We uoni joto?
Konda-usituzingue wewe!
shuka kapande fridge!
**** Konda-ant kuna siti nyuma!
Ant-siwez kukaa sit za
nyuma
Konda-kwenda zako
wewe! Kwan za nyuma
ziko nje ya gar?. *****
Sister duu-konda
unanibana!
Konda-mbona nguo
ulizovaa huzisem? Kama
unataka kujiachia ungekod tren peke yako!
 
Hahahaha n kama ndan ya daladala

KONDA NA ABIRIA Abiria-kuna siti au
unaniambia tu nipande?
Konda-hao wengne
wamekalia ndoo!
#**#** Abiria-hebu punguza saut
redio!
Konda-sheria za nchi
zinatushnda 2zifate na
zako? Hebu tupunguzie
misheria ***#*
Abiria-ondoa gar bwana!
We uoni joto?
Konda-usituzingue wewe!
shuka kapande fridge!
**** Konda-ant kuna siti nyuma!
Ant-siwez kukaa sit za
nyuma
Konda-kwenda zako
wewe! Kwan za nyuma
ziko nje ya gar?. *****
Sister duu-konda
unanibana!
Konda-mbona nguo
ulizovaa huzisem? Kama
unataka kujiachia ungekod tren peke yako!

aisee we mkali huna afadhali
 
nakupenda
usompenda yesu upate thawabu wanipenda mm

nikila sishibi juu yako
si ule mawe
 
Q: Umenyoa nywele?
A: Hapana, nimebadilisha kichwa.

Q: Hiyo simu umenunua?
A: Hapana nimeitengeneza mwenyewe.

Q: Utakula mboga na nini?
A: Mdomo

(Simu inaita usiku,then aliyepiga anauliza)
Q: Nimekuamsha?
A: Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.

Q: Gazeti la leo linasemaje?
A: Sijaongea nalo.

Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?
A: Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.

Q: Hiyo ni ajali?
A: Hapana ni driver ameamua kupark gari upside down.

Q: Umepause movie?
A: Hapana wamechoka kuact wanarest.

hahahahaaaa...
Ingawa imewahi kupostiwa humu,ume imodifai na inavutia zaidi!
 
Q. Hii barabara inaenda wapi?
A. Haiendi popote ipo hapa miaka mingi tangu nazaliwa nimeikuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom