Mtekinolojia
Member
- Feb 17, 2019
- 14
- 8
Inaweza mkubwa. Ila ishauzwa tayari
Mfano sasa hivi namba Latest ni DQFNadhan hujanielewa mkuu. Yaan namaanisha had nione herufi gan ndo nijue hii imeingia hivi karibun? Maana tumeambiwa hapo juu plate namba herufi C au D kwa Dar kuuza ni ishu
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi ninayo auto kama unahitaji nipm
Picha ya sasaOya hiyo picha ni sasa au ya kipindi unainunua?
mimi ninayo auto kama unahitaji nipm
0715140001Weka picha na bei
Mkuu mbona umeadimika sana!google.co.tz
Sawa BossHazina tatizo, ni bonge moja ya Mkebe Mzuri
Ah Mwanza tu hapo ondoa shaka kabisaaa watu wanaenda kwa vitz, au passo gari zenye cc chini ya 1,000 na wanafika salama salimin sa huyo mnyama votz ambaye anazo cc zaidi ya 1,700 atashindwaje fika kwa mfano?Sawa Boss
Naweza pigisha mzigo Dar to mwanza within a same day?