Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Wadau habari za hapa?

Ninataka kununua voltz kwa sababu naipenda ilivyo hata mishe za mjini naona iko poa

Je hizi gari zina matatizo gani common na udhaifu wake ni upi?

Msaada
 
Sawa Boss

Naweza pigisha mzigo Dar to mwanza within a same day?
Ah Mwanza tu hapo ondoa shaka kabisaaa watu wanaenda kwa vitz, au passo gari zenye cc chini ya 1,000 na wanafika salama salimin sa huyo mnyama votz ambaye anazo cc zaidi ya 1,700 atashindwaje fika kwa mfano?
 
Back
Top Bottom