Maswali mawili yanayokera wanaume!!

iano yangu mengi huwa yanakufa sabau ya hayo maswali.kinachofuata atakaka uthibitisho wa majibu yako kwa kumpa aongee na mtu au utaambiwa fungulia clouds useme kuna nini au niambie ITV kuna nini na uzushi mwingine mwingi
 
Maswali ya kawaida kabisa na kama wewe huna tatizo hutaona yanakera ila basi isiwe kila baada ya mdaa uko wapi !!!
 
kama hamtaki kuulizwa msipokee simu nukta

halafu unaweza kujidanganya kuwa kwa kuulizwa hayo maswali kila wakati, ukadhani ndio unapendwaaa au kujaliwa sana.. Kumbe ni fix tu.. Ninaushahidi yalimkuta jamaa yangu alikuwa na mpenzi wake , huyo mwanamke kila wakati anampigia simu jamaa kutaka kujua yuko wapi na yuko na nani.. Jamaa akajua looh hapa kapata mke..looh kumbe yule dada alikuwa anafanya vile ili aende kwenye mambo yake kungonoka na wanaume wengine tena walimu wake (ilikuwa cho kikuu) akiwa na uhakika wa wapi alipo mtu wake. Mapenzi hayana formula full stop, mengine ni mbembwe na kutiana moyo tu.
 
duh! Mapenzi yana 70% usanii.
 
mie ukiuliza niko wapi ntakwambia kwani wewe uko wapi.... ukishajibu ntasema ok... unasemaje!!

HIlo swali mimi silijibu kwani limekaa kinoko aisee
 
kudadeki hata demu wangu huwa ananiulizaga huo
uswali

hmmm!! binadamu hawana jema officemate wangu yeye analalamika toka amemuoa mke wake na wana watoto watoto hajawahi kuuliza uko wapi wala unafanya nini hata kama atarudi saa tisa za usiku mke wake wala hamsemeshi kitu sasa huwa anajuiliza maswali mengi inawezekana huyo mwanamke hampendi au ana mtu mwingine anaemjali. jamani kama mkeo au mpenzi wako anakujali nakuuliza uko wapi be happy kuna wengine wanatamani kuulizwa lakini hawaulizwi
 
kutokana na kukua kwa teknolojia kuwasiliana siku hizi imekuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Teknolojia pia imeleta vitu vingine ambavyo vimepata ushabiki hapa bongo kama vile ligi kuu ya Uingereza. Kwa kutumia simu wapenzi au wanandoa imekuwa ni rahisi sana kuwasiliana.

Lakini kwa kuwasiliana huko kuna maswali ambayo wanawake huwauliza wenza wao ambayo kwa kweli huwakera wanaume wengi sana. Utakuta mwanamke anapiga simu mwenzie akipokea tu kabla ya kusema anachotaka kusema anaanza kwa swali "uko wapi?" mara nyingi kwa sauti ya kipolisi. Jamaa akijibu alipo linafuata swali la pili "unafanya nini?"

Ki ukweli kabisa haya maswali na jinsi yanavyoulizwa mara nyingi huwakoroga wanaume. Kama wewe ni mwanamke umeshawahi kumuuliza mpenzi wako maswali haya. Na kama wewe ni mwanaume umeshawahi kuulizwa maswali haya na huwa unajisikiaje?

Kama ulikuwepo vile! Yaani unatamani kasim kapate matatizo ya ghafla ili kukatiza mazungungumzo ya namna hiyo.
 
Kama hamtaki kuulizwa msipokee simu nukta
Na nyie pigeni simu kwa staha basi!! Tatizo lenu nyie huwa mnadhani kwamba sisi huwa tuna - cheat na njia rahisi ni kuuliza hayo maswali. Kwa uzowefu wangu kama mwanaume anataka ku- cheat wala hana sababu ya kutopokea simu yako na hayo maswali hayatamkera na utajibiwa vizuri tu tena mbele ya "mwenzio" akisikia unavyojibiwa.

Mwanaume akitaka ku- cheat huwa anajitayarisha kabisa na kuweka mazingira ya kutokutia shaka kwa mpenzi wake. Hivyo hata mhusika mwenyewe anakuwa hana shaka. Jueni kwamba hamuwezi kuwazuia wanaume zenu ku- cheat kwa kuwauliza "uko wapi?" "unafanya nini?". Haya maswali huwa yanakera hasa kama Atletico Bilibao wanakuwa wameshapiga bao la pili na uwezo wa Rooney kurudisha unapokuwa haupo!!
 
Ni maswali ya kawaida tu na ukimjibu kila anapouliza hiyo tabia hufa natural death

Noma ni pale mnapokuwa mmezinguana halafu hamjasalimiana the whole day halafu kumi na mbili na dakika arobaini na tisa jion ndo anakurupuka huko na maswali

" DIA uko wapi "
 
Noma ni pale mnapokuwa mmezinguana halafu hamjasalimiana the whole day halafu kumi na mbili na dakika arobaini na tisa jion ndo anakurupuka huko na maswali

" DIA uko wapi "
Bwana wee!! sasa wewe unaulizwa uko wapi halafu jifanye kuuliza "kwani unasemaje Dia" huo mcharuko wa ghafla atakaokuja nao utatamani uzime simu yako. "mimi nakuuliza uko wapi wewe unaniuliza ninasemaje, kama uko na hawara yako si uniambie!"
 
Mimi gal wangu alizoea kuniuliza siku moja nikaropoka nipo upo wapi nikajibu "nipo MBINGUNI " unafanya nini nikamjibu "nipo zamu ya lindo" alinifyonza akadai nabpu kifo nikamwambia njia ya wote hyo.basi paka leo amekoma na swal lake la kipu mb avu
 
Mzee wewe ulitoa kali. uko Mbinguni tena kwenye Lindo Hiyo balaa. Kama angerudia kukuuliza angeonekana chizi!!
 
si bora mkeo akikuuliza maswali hayo mie nakereka unakuta jitu limebeep unampigia anakuuliza uko wapi? Unafanya nini? Eboooooooooooooo
 
kutokana na kukua kwa teknolojia kuwasiliana siku hizi imekuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Teknolojia pia imeleta vitu vingine ambavyo vimepata ushabiki hapa bongo kama vile ligi kuu ya Uingereza. Kwa kutumia simu wapenzi au wanandoa imekuwa ni rahisi sana kuwasiliana.

Lakini kwa kuwasiliana huko kuna maswali ambayo wanawake huwauliza wenza wao ambayo kwa kweli huwakera wanaume wengi sana. Utakuta mwanamke anapiga simu mwenzie akipokea tu kabla ya kusema anachotaka kusema anaanza kwa swali "uko wapi?" mara nyingi kwa sauti ya kipolisi. Jamaa akijibu alipo linafuata swali la pili "unafanya nini?"

Ki ukweli kabisa haya maswali na jinsi yanavyoulizwa mara nyingi huwakoroga wanaume. Kama wewe ni mwanamke umeshawahi kumuuliza mpenzi wako maswali haya. Na kama wewe ni mwanaume umeshawahi kuulizwa maswali haya na huwa unajisikiaje?

kweli kabisa, kuna siku aliniambia hivyo nikamwambia nipo namsubiri mwenzako,sasa niliporudi home..........we acha tu.kumbe ilikua kukwepa kero tuuuuuuu
 
Back
Top Bottom