Maswali Magumu, inauma sana

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Vile viwanda vyetu Urafiki Textile, Ufi, Mwatex, Mutex, Natioanal Panasonic, Matsushita Electric, Kilitex nk najiuliza sana vilikufaje?? hatuwezi kuvifufua ? maana majengo yapo, naamini na hata mashine na zana zingine zipo japo za kale kiasi. Na kama hazipo zilikwenda wapi? Na nani wa kuwajibika?, au na hili tutamlaumu JK pia? Dar, niliona pale Urafiki wamepewa wahindi eti ndiyo Exim bank or something! Kwaninil lakini? Nani anaamua kuuza sehemu ya mali na viwanda hivi vya Taifa?
Viwanda ni sehemu ya tatizo la ajira kwa vijana na pia kukuza uchumi na pato la Taifa. Tafadhali mwenye uelewa anijulishe maswali hayo na ugumu wa kuvifufua viwanda vile.
 
siku hivyo viwanda vinafufuka ndo siku chache tu mara baada ya janga la la tatu la taifa kuisha yaani umeme hili ni baada ya umasikini na ujinga..
 
na hili tutamlaumu JK pia? Dar, niliona pale Urafiki wamepewa wahindi eti ndiyo Exim bank or something! Kwaninil lakini? Nani anaamua kuuza sehemu ya mali na viwanda hivi vya Taifa?.
Umejijibu tayari.
 
Vile viwanda vyetu Urafiki Textile, Ufi, Mwatex, Mutex, Natioanal Panasonic, Matsushita Electric, Kilitex nk najiuliza sana vilikufaje?? hatuwezi kuvifufua ? maana majengo yapo, naamini na hata mashine na zana zingine zipo japo za kale kiasi. Na kama hazipo zilikwenda wapi? Na nani wa kuwajibika?, au na hili tutamlaumu JK pia? Dar, niliona pale Urafiki wamepewa wahindi eti ndiyo Exim bank or something! Kwaninil lakini? Nani anaamua kuuza sehemu ya mali na viwanda hivi vya Taifa?
Viwanda ni sehemu ya tatizo la ajira kwa vijana na pia kukuza uchumi na pato la Taifa. Tafadhali mwenye uelewa anijulishe maswali hayo na ugumu wa kuvifufua viwanda vile.
Hili la kuuliza leo ndugu yangu???..au ulikuwa nje ya nchi??
 
"Mzee ruksa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa miaka 10 hakuyamalza, mie miaka 5 hayajaisha nmeongeza 5 mingne hayatakwsha" Jk
 
Vile viwanda vyetu Urafiki Textile, Ufi, Mwatex, Mutex, Natioanal Panasonic, Matsushita Electric, Kilitex nk najiuliza sana vilikufaje?? hatuwezi kuvifufua ? maana majengo yapo, naamini na hata mashine na zana zingine zipo japo za kale kiasi. Na kama hazipo zilikwenda wapi? Na nani wa kuwajibika?, au na hili tutamlaumu JK pia? Dar, niliona pale Urafiki wamepewa wahindi eti ndiyo Exim bank or something! Kwaninil lakini? Nani anaamua kuuza sehemu ya mali na viwanda hivi vya Taifa?
Viwanda ni sehemu ya tatizo la ajira kwa vijana na pia kukuza uchumi na pato la Taifa. Tafadhali mwenye uelewa anijulishe maswali hayo na ugumu wa kuvifufua viwanda vile.
Muulize mzee ruksa. Kila rasilimali ya nchi iliteketea pale. Katika awamu ambazo Tanzania ilipata hasara, basi ni wakati wa utawala wa huyu zuzu. Yeye alitafuna viwanda vyote, mkapa akatafuna maliasili zote. Kikwete anapapasa tu huku na huku wala hajui hata la kufanya ni nini! Tunahitaji kiongozi mwenye ubunifu wa hali ya juu sana, atakayeweza kuvirudisha na kuviendeleza vile viwanda ili hatimaye kuujenga upya uchumi wetu.
 
Back
Top Bottom