Maswali kwa PM Julai 14, 2011

Hili suala alilolikatiza spika la Shs 12 million za kodi ya nyumba ya Spika mstaafu halijakaa sawa. Hii nyumba ni ya nani na uhalali wa kodi yote hiyo inayolipwa umekaa vipi? Isije ikawa ndiyo zile nyumba za umma walizojinunulia kwa bei chee kisha wakaipangishia serikali kulipia pango kubwa. Hili suala linahitaji ufafanuzi zaidi hata nje ya mjengo. Hiyo kodi ni too much kulipwa kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom