WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 5,610
- 5,276
Kama ilikuwa hivyo basi CDF na jopo lake wapewe kongole kwa kumwacha mtesaji wa watu ateseke mpaka afe.Hata paka akitaka kumla panya mara tu anapomkamata humchezea na kumwacha ajifariji kuwa labda ataachiwa huru lakini kumbe ni kinyume chake na mwisho humwua panya yule na kumla.Nadhani uwepo wa Janabi uliwafanya watu wahisi kuwa alikuwa na kazi maalum, hasa kutokana na kilichotokea baada ya kifo cha JPM. Yaani wale mzee Kinana kurudishwa ghafra kwenye uongozi wa chama na mtoto wa yule mzee mwenzake waliokuwa wakimtukana JPM kurudishiwa uwaziri na mtoto wa JK kuteuliwa uwaziri. (kumbe it was just a coincidence)
Hoja ya kutopelekwa Ulaya nadhani wanadhani kama CDF hakutii hoja ya kuamuru akafie kwao, angeshindwaje kutotii kukataa kutibiwa nje, maana kwa maelezo ya Mabeyo ni kama JPM had no powers to order anything ambacho kwa busara ya Mabeyo kingesound illogical.
Kuhusu kuachwa apiganie uhai wake kama mateka, nadhani wanajiuliza kwa nini hata mke wake hakuruhusiwa awepo kushuhudia kinachotokea kwa baba watoto wake?
Inaonekana JPM died a very lonely and painful death.
Nadhani hakutendewa haki kufariki pasipo kuonana na kuwaaga wapendwa wake. It seems Mrs Magufuli knows nothing kilichokuwa kikiendelea kuhusu last minutes za mume wake (na inatia mashaka - it was designed so)
Nadhani baadhi ya watu ndivyo wanavyodhani