wanaomkataa ZZK wengi wanasukumwa na Udini,
....oooh!...na wanaomkubali?
ZZK, mwaka 2010 na baadae mwaka huu 2012 umetangaza nia ya kugombea urais ifikapo 2015, sio jambo baya. Lakini nina maswali yafuatayo:
[*=1]Je ni kwa nini mwaka 2010 wakati wa kampeni, chama chako kikiwa na mgombea aliyekuwa na matumaini makubwa ya kushinda wewe ulitangaza nia ya kugombea urais 2015?
[*=1]Je, ulijua mgombea wa chama chako 2010 asingehinda?
[*=1]Ama Je, ulijua yale yaliyokuwa yanatamkwa na mnajimu Sheikh Yahaya yangetimia?
[*=1]Au, Je ulijua baada ya kuongea na Jack Zoka - TISS kuwa huyu mgombea wenu asingeshinda na nini kingefuata baada ya hapo?
[*=1]Je unaweza kutuambia ni nini kitatokea na kumfanya mgombea wenu wa 2010 asigombee tena 2015 ili kukupa nafasi wewe ya kugombea?
[*=1]Wakati unatangaza nia 2010 na 2012, unajua kuwa katiba haikupi nafasi, je umeshaongea na mkuu wa nchi kakuhakikisha katiba itakuruhusu?
[*=1]Je unafanya jitihada zozote kuhakikisha chama chako kinapata uungwaji mkubwa wa mkono wa Watanzania hasa Vijijini?Naomba unipatie majibu, na hata usiponipatia mimi soma haya maswali na kisha ujijibu mwenyewe.
Asante kwa kusoma na nakutakia kila la heri katika ujenzi wa Taifa.
Tunamuomba ZZK atuoneshe babake mzazi alipo.
Kiongozi bora na makini ni yule anayeheshimu katiba ya nchi na utawala wa sheria. Kwa mujibu wa katiba ya sasa Zitto anaikiuka hivyo si kiongozi anayetufaa!
Bora angekazania kuwashawishi wananchi ili wajenge hoja nzito katika mabadiliko ya katiba yajayo kupunguza umri wa mgombea urais kutoka miaka 40 mpaka labda miaka 30!
subiri uone mzikiZitto atahaibika kwenye kura za maoni.
Sasa acha kuota mchana na subiri hadi hicho unachoota kitakuwa kweli!zito kakiuka katiba ipi?alisema kama swala la umri litakua sio kikwazo akiamini katiba mpya itafanya marekebisho,acha unafiki mkubwa wew
hivi uchaguzi mkuu wa mwisho wa cdm si ilibid wazee kumpigia magoti kumuomba aondoee jina lake kwenye kugombea uenyekit what was the meaning?ni indicator kua alikua ashinde nafasi ile na anawafuasi wengi chamani,kama mnajiamini kua hakubaliki pelekeni jina muone nini kitahappen afu mje hapa sio mnaropoka tu kama mabata
subiri uone mziki