Ma'Super Star wa Kibongo Hawana baba?

Mr Bean.

Senior Member
Jan 25, 2015
185
128
Wadau hii imenishangaza kitambo sasa juu ya hawa masupasta wetu. Mara zote utasikia wanazungumzia wazazi wao wa kike tu na si wazazi wa kiume.

Mfano utasikia Mama Lulu kasema hivi. Mara mama Kanumba vile.?Mara mama Ray anoekana Kariokoo. Mara Mama Kiba aja juu. Nk nk.

Sijawahi kusia Wazazi wa kiume wa hao mastaa wakiwataja watoto wao au hao mastaa wakiwataja baba zao kama wanavyowataja mamazao.

Kulikoni?
 
Wadau hii imenishangaza kitambo sasa juu ya hawa masupasta wetu. Mara zote utasikia wanazungumzia wazazi wao wa kike tu na si wazazi wa kiume. Mfano utasikia Mama Lulu kasema hivi. Mara mama Kanumba vile.?Mara mamaRay anoekana kariokoo. Mara Mama kiba aja juu. Nk nk Sijawahi kusia Wazazi wa kiume wa hao mastaa wakiwataja watoto wao au hao mastaa wakiwataja babazao kama wanavyowataja mamazao.Kulikoni?.
Mkuu siunajua tena wamama ndio wanaopendanga promo,wababa wengi hawajarigi hayo makitu ya kurushwa hewani ndio maana unasikia shout out zote ni kwa kina bi mdashii vile wanazikubali sana.
 
Wengi ni watoto wa mama! Ila wengine watoto wa michepuko!
 
Super stars wengi ni watu wa shids sana... maisha yao magumu... familia zao hazieleweki ndiyo maana hutokea hayo..
 
Wengi wazaz wao ni ma singo maza nahis...
Mfano
lulu
Kanumba
Diamond
Wengineo sina uhakika lkn kila mtu ooh mamangu kapata shida sana na mie..oh mamangu sijui nini...
 
Wadau hii imenishangaza kitambo sasa juu ya hawa masupasta wetu. Mara zote utasikia wanazungumzia wazazi wao wa kike tu na si wazazi wa kiume. Mfano utasikia Mama Lulu kasema hivi. Mara mama Kanumba vile.?Mara mamaRay anoekana kariokoo. Mara Mama kiba aja juu. Nk nk Sijawahi kusia Wazazi wa kiume wa hao mastaa wakiwataja watoto wao au hao mastaa wakiwataja babazao kama wanavyowataja mamazao.Kulikoni?.
 
KIJANA MWENYE HEKIMA NI SIFA KWA BABA YAKE...lakini kijana mpumbavu ni mzgo kwa mama yake..! JIULIZE, Je hao mama zao wanatajwa kwa yenye HEKIMA, BUSARA au ya kijinga na kpumbav?..
 
ni vigumu mtu kubalance (Mziki,mpira ,na mambo mengine ya sanaa) na Taaluma hii ya kawaida.
walio vizuri kwenye sanaa ni kuwa walipotezea kwenye masomo hivyo kupata muda wa kuiva kwenye sanaa
kwa wababa ni nadra kumkubalia mwanaye afanye sanaa maana haina uhakika wa kuchomoka,wamama hukubaliana kwa kuwashindwa nguvu watoto wao hivyo huwasapoti watoto wao kishingo upande.
 
Back
Top Bottom