Masters za Tanzania zinambadilisha mtu?

Inategemea na masters ya nini!!! Ila kwa field yangu... Unafeel sana kua una masters. Na ukifanikiwa kumaliza unajipongeza ile mbaya.
 
Hakuna kitu..tunaenda tu shule kukifunza kusoma na kuandika ..kwenye elimu tuna ongeza U Bashite tu duniani
 
Kwanza, Mimi nikupongeze mleta mada hii kwa.kuwaza hakika kama GT hapa JF.

Jambo,.la kwanza kabisa unapaswa mtu ufahamu ni kuwa hizi masters inategemea na field uliyosoma kwa sababu, zipo field ukisoma unaona kabisaa kuna mambo mengi umepata na unajisikia kabisa una masters.

Pili, Masters ukiwa nayo unakuwa na uwanja mpama wa maamuzi katika ajira hapa namanisha kuwa utakuwa na masters moyoni mwako na itakupatia nafasi kubwa ya kuchagua cha kufanya

Mimi miaka ya zamani kidogo nikiwa na bachelor degree nilikosa kazi kama 4 hivi yaani za wazi sana ila baada ya kusoma masters nikawa niko na uwanja mpana wa kufanya maamuzi kwani, ile masters ilinifanya niwe na ujasiri kuwa naweza enda popote na kufanya kazi yoyote ya hiyo field au inayoendana na niliyosoma katika level ya masters

Hivyo, ni mentality ya mtu kushindwa kuelewa kuwa ana masters na anaweza akafanya mambo makubwa na mengi.

Pia, issues za kuwa na mihemuko na majanga wakati wa UE bado ni mtu binafsi siyo watu wote wana hiyo shida ila bado inakuwa ni maandalizi mabovu au mtu mwenyewe hana ujasiri kuwa anaweza kufaulu.

Mfano, mzuri wa UE , ilinganishe tu na public speaking, sio watu wote wanaoweza ongea katika makusanyiko makubwa ya watu japo wakifundishwa wanaweza kuongea vizuri ; hivyo na ujasiri wa mtu katika mitihani (UE) ni jambo binafsi la mtu.

Hiyo issue ni subjective na siyo objective kwani nimeona baadhi ya watu baada ya kuhitimu masters wanabadilika sana kila wanachofanya na hata mawazo yao yanapanuka sana.

Masters degree ni Sawa na "master key" kwa wanaojielewa.

Siku njema.
 
Kwa nn mkuu, maana me Home wananilazimisha nikasome degree ya pili ila huwa nawapiga kalenda tuu, nijuze tuu mkuu ili na me nisijute
Mkuu inategemea ulisoma nini degree ya kwanza nilichokisomea mimi degree ya kwanza na hii master ni hatari mkuu
 
Inategemea ila ambao nawajua mimi wenye masters za let say medicine, mfano internal medicine, paediatric, otorhinolaryngology, psychiatry kiukweli wanafeel kweli kuwa na masters sababu wanakuwa specialised kwelikweli kwenye area moja, pili wanakuwa so practicals sababu wanakaa shule 3 years(miaka ya ngwini undergraduate), halafu wanakuwa specific na kitengo husika(si ushasikia daktari bingwa labda wa moyo, figo)........... In short wanajihisi wana masters na 95% of them zinawasaidia economically.
this is real bro , kwa medicine ukikutana na mtu mwenye masters kweli unagundua tofauti, hata chuo nilichosoma undergraduate jamaa wanaosoma masters walikua wanaitwa "residents" kwamba ni wakazi wa wodini..all time wapo na wagonjwa...so kwa medicine wenye masters they are real experts ,kwa field nyingine sifaham
 
Wakati nachukua first degree(still Niko na first degree) nilikiwa ninawaona watu wanaosoma masters kule Mdigrii,mara utawala wakiwa na mapamflet wako wanasoma au wamebeba wanapita. Mara nyingi ni wakati wa mitihani yao.

ukiangalia nyuso zao zinaonesha ni za watu wanaozima moto,pressure tupu.


Swali langu ni je,do they fill ile hali ya kwamba wao wana masters mioyoni mwao au ni just wanaona ni kama wako na elimu ya undergraduate? Yaani unajiona hapa ni just recognition tu. Kujifili umasters.

NB:Be subjective,usilete habari za Faizafoxy hapa kukagua tenses na kufanya personal attacks.

Sehemu nilizozitaja ni viunga vya UDSM
Nakushauri ufanye masters degree kwanza..... Sidhani kama ni sahihi darasa la saba kuwachambua wahitimu wa kidato cha nne. Huo ni ujuaji usio na sababu
 
Watanzania wengi wana tabia hii. Utakuta diploma holder anasema degree holder hawajui kitu kiutendaji. This is very bad. Na hali hii pia inawafanya watu wasiheshimu taaluma za watu. Na wakati mwingine inadhaniwa kuwa kazi fulani inaweza kufanywa na mtu yoyote
 
Shida kubwa tunayokumbana nayo huku mtaani ni uelewa wa jamii jinsi ya kutumia hizi masters. Namaanisha "siasa ni nyingi kuliko utaalam". Siasa inaamua kila kitu. Specialization za medical pamoja na kuwa very practical zinaonekana bora zaidi kwa sababu siasa haina nguvu huko
 
Mi sijutii nimepata knowledge kubwa na ufahamu wa mambo umekuwa tofauti na undergraduate, masters ukienda bila malengo ndo utajiona umepoteza mda.
Wewe wasema kwa mtazamo wako ila suala tu lakusoma nalo ni malengo
 
Kwa uzoefu wangu, ukifanya first degree then ukaingia mtaani kupiga kazi harafu ukarudi kusoma Masters after 4-5 years kuna kitu utakuwa umejifunza mtaani hata research/dissertation yako inaweza kuwa guided - unafanya kile unachokipenda. Na hii itakufanya ujifeel proud kuwa na Masters degree
 
Back
Top Bottom