sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,272
- 7,871
Kwa nn mkuu, maana me Home wananilazimisha nikasome degree ya pili ila huwa nawapiga kalenda tuu, nijuze tuu mkuu ili na me nisijuteKwangu mimi haijanibadilisha kitu kwanza ninajuta kuisoma degree ya pili