Mastaa wenye meno mabaya..............

Anna+Makinda(1).jpg


Huyu sijui kama anaweza kutafuna mahindi ya kuchoma...

nilijua itafika huku tehe tehe tehe Umenichekesha sana
 
Hii orodha kama hajaingia mama Ana, itakuwa haijakamilika. Fursa sawa kwa wote bana.
 
Ni upumbavu kisa eti unapesa ukosoe mungu alivyo kuumba, lazima watu tujifunze kukubali maumbile yetu, baati nzuri kaleta mwanamke huu uzi (sishangai ni kawaida yao kukataa na kumkosoa mungu) mnapenda kujimodify wanawake...ila angekuwa mwanaume kaleta thread hii bila shaka ningeweka maswali 150 hapa kwaajili yake.

niwape somo dada, mama zangu, u should accept the way u are! haya madude yakuongeza ni sawa na kumwambia mungu na ujinga wako uliniumba hivi? ngoja nikwoneshe nipaswavyo kuwa (shame on u) wote manaojiatifisho
 
Wanabaki walivyoumbwa inaonekana ukiwa mzee wa vijisenti wewe hata plastic surgery utafanya ili usizeeke
 
Back
Top Bottom