Sophie sad
Member
- Apr 29, 2023
- 6
- 2
Meno yamekuwa tatizo kwangu kwa muda sasa, wapi naweza pata hospitali nzuri inayopokea wagonjwa wa meno wenye bima?!
Eleza tatizo ni yanauma, yametoboka au ni yamelegeaMeno yamekuwa tatizo kwangu kwa muda sasa, wapi naweza pata hospitali nzuri inayopokea wagonjwa wa meno wenye bima?!
Mm langu limetoboka tunduEleza tatizo ni yanauma, yametoboka au ni yamelegea
Yametoboka na yanauma hata yakigusana na kitu cha baridi ama cha motoEleza tatizo ni yanauma, yametoboka au ni yamelegea
Hapana nataka nizibe, nimeambiwa kuna mawili kuziba moja kwa moja ama ile ya temporary. Ila ni hospital ipi wanafanya hivyo kwa bimaMeno yamefanyaje unataka kung'oa au?
Shukraan sanaNenda pale Omega dental pale Magomeni usalam jengo la Utumishi house kwa pembeni wapo floor ya tatu ukifika tu kituo cha daladala Magomeni usalama.
Wanatibu kwa bima?Mkuu nenda Tiba health care. Omba appointment na Dr Tatheer. Yule mhindi mtaalam sn
Ndiyo mkuuWanatibu kwa bima?
Shukraan sanaNdiyo mkuu