Mastaa wa bongo(movie na muziki)

supermario

Member
Dec 2, 2011
48
15
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye magazeti,redioni na tv!
kazi kuvaa vitu feki na kujigamba. Look at kenya n uganda. People are serious with their music and acting cause thats their work and they value.

I really appreciate someone who talks and his words are supported by his actions! Non of our so called celebs here in Tzd own a house or if there is its not above 10% of them. So why the talk talk? borrowing money n nguo to look good on videos and movies while your own nothing is a shame.

I live close to a musician who thinks is on top of his game when hes behind the radio na kuongea na kucheka kama yeye ni supasta wa juu kumbe anakoishi na ndugu zake walio kuja kutoka nao mkoani ni kwa kushangaza..jamaa alibidi hadi ampeleke demu kwa msela anayeishi jirani na kwake kwa madai ndipo anapoishi.

Tembelea blog ya millard ayo ujionee wanavyo tabasamu ndani ya opa!
These guys need to be told the truth rather than kucheka nao na kusoma habari zao za ovyo kila siku. Hawaoni kina bebe cool na wenzao..tutabakia nyuma milele!
Millard Ayo
 
kumbe nimaoni ya yule mbana pua miadi ya miayo..

Hii kitu ni kweli,namjua memba wa kundi la zamani la hiphop,walikua watatu,mmoja ndo bado aantesa, wenzie wamefulia,tena mmoja ni teja hawa jamaa hawalipwi kama inavostahili kwa sababu ya kukosa ufahamu kuhusu sheria,sheria zipo lkn hawazijui,mfano leo ukitaka ufungue kampuni,kuna sheria lazima uzijue, la sivyo itakula kwako, sasa hawa jamaa hawana muda na hayo mambo,wao wanaangalia the bigger picture kwamba akiimba atapata madem na pesa,lakini hajui atazipata vipi,ndo hapo wahindi wanawaibia, kalaghabhaho.
 
hii kweli mkuu leo nimekutana na insipekta haron anakatiza mitaa ya msimbazi kama sio star wa bongo..sijui tatizo nini labda udhaifu wa serikari.
 
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye magazeti,redioni na tv!
kazi kuvaa vitu feki na kujigamba. Look at kenya n uganda. People are serious with their music and acting cause thats their work and they value.
I really appreciate someone who talks and his words are supported by his actions! Non of our so called celebs here in Tzd own a house or if there is its not above 10% of them. So why the talk talk? borrowing money n nguo to look good on videos and movies while your own nothing is a shame.
I live close to a musician who thinks is on top of his game when hes behind the radio na kuongea na kucheka kama yeye ni supasta wa juu kumbe anakoishi na ndugu zake walio kuja kutoka nao mkoani ni kwa kushangaza..jamaa alibidi hadi ampeleke demu kwa msela anayeishi jirani na kwake kwa madai ndipo anapoishi.
Tembelea blog ya millard ayo ujionee wanavyo tabasamu ndani ya opa!
These guys need to be told the truth rather than kucheka nao na kusoma habari zao za ovyo kila siku. Hawaoni kina bebe cool na wenzao..tutabakia nyuma milele!
Millard Ayo

Yaah the need to be told the truth.
But as for most of Tanzanians, if you tell them the truth, they will call you a hater!!!
Hatupendi kuambiwa uweli ndio maana tumezidi na tunabaki kuwa wajinga!
 
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye magazeti,redioni na tv!
kazi kuvaa vitu feki na kujigamba. Look at kenya n uganda. People are serious with their music and acting cause thats their work and they value.
I really appreciate someone who talks and his words are supported by his actions! Non of our so called celebs here in Tzd own a house or if there is its not above 10% of them. So why the talk talk? borrowing money n nguo to look good on videos and movies while your own nothing is a shame.
I live close to a musician who thinks is on top of his game when hes behind the radio na kuongea na kucheka kama yeye ni supasta wa juu kumbe anakoishi na ndugu zake walio kuja kutoka nao mkoani ni kwa kushangaza..jamaa alibidi hadi ampeleke demu kwa msela anayeishi jirani na kwake kwa madai ndipo anapoishi.
Tembelea blog ya millard ayo ujionee wanavyo tabasamu ndani ya opa!
These guys need to be told the truth rather than kucheka nao na kusoma habari zao za ovyo kila siku. Hawaoni kina bebe cool na wenzao..tutabakia nyuma milele!
Millard Ayo

meddie-chamili-bmw.jpg
Friday, February 11th 2011
Jose Chameleon gets BMW and 80m from Meddie by 1544c Ssejjombwe. 256 782233273

[h=2]Celebrities and their Rides: Jose Chameleone[/h]
chamelone%20celebsand%20thier%20rides%20copy.jpg
rangerov2.jpg
images
 
wewe una gari gani??
Niambie kazi yako mjini hapa ni nini??then nitaweka gari la mtu anayefanya kazi kama yako wa nje tulinganishe
 
Back
Top Bottom