Maskini mke wa Issa Kamongo

mpenzi, hayo maisha tu aliyokuwa anaishi ni mabaya kuliko huu mwisho wake. kama ndoa imekushinda unatambaa zako, ndo maana mimi na-support divorce! sasa kajipelekea balaa, na aibu mara dufu! unadhani watoto wake wakijua hii watapenda kweli kum-honour mama yao?
amekufa kifo kibaya sana, imagine alifanyiwa mangapi kabla ya kufikia kukatwa...
 
mhh wake za watu watukutu watakoma kuringa..kuna lijamaa limetendwa sasa linawatenda,polisi wakibongo kama kazi zimewashinda wamtafute Hotch na timuyake waje kuwasaidia jamani hatariii!
 
Kutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.

so hakuna uhakika kama yaliyotokea yamesababishwa na mwarabu?
 
mpenzi, hayo maisha tu aliyokuwa anaishi ni mabaya kuliko huu mwisho wake. kama ndoa imekushinda unatambaa zako, ndo maana mimi na-support divorce! sasa kajipelekea balaa, na aibu mara dufu! unadhani watoto wake wakijua hii watapenda kweli kum-honour mama yao?

balaa lake sio dogo, kwa kweli nawahurumia sana watoto, itakuwa ni ngumu kwao kulikubali hili...Mungu kaweka cri kubwa sana kwenye kifo jamani, laiti angelijua angetilia nyumbani kwake, RIP fatuma.
 
mhh wake za watu watukutu watakoma kuringa..kuna lijamaa limetendwa sasa linawatenda,polisi wakibongo kama kazi zimewashinda wamtafute Hotch na timuyake waje kuwasaidia jamani hatariii!

serial killer haihusiani na wake za watu only...
kuna serila killer wa wanafunzi tu peke yao
au single ladies tu only...
ni tatizo la saikolojia zaidi...
 
Mnatuchanga humu
hii habari na ile ya wos ya serial killer ni moja?
Je huyo mwarabu wa dubai ndo serial killer?????????

mkuu hii ni jf ndio maana waliona passport za tz na wasionazo wpote tunachangia maoni yetu kama tuko tandale lakini siri yetu ukiona imerudiwa na wewe akuna haja ya kurudia kutoa maoni yako unakaa kimya unarudikule kwa wakubwa easy
 
Kutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.
TECHMAN,Msemaji wa familia alipunguza ukali wa mambo...Maiti ya Farida ilikutwa Mkuzu Guest House,Chumba No.3 Magomeni,Walienda Guest mida ya usiku na Maiti ilitolewa chumbani baada ya Polisi kuvunja mlango.
 
Sure mkuu nimemsikia mhudumu wa Guest husika akiwa anahojiwa Clouds sasa hivi. Jamaa (muuwwaji) alitoka subuhi akidai kwenda dukani...hakurudi saa nne mhudumu kagonga chumbani kimya,.... kaita serekali za mitaa wakachungulia ndani ...msala,... wakaita polisi na ndo walovunja mlango....
 
TECHMAN,Msemaji wa familia alipunguza ukali wa mambo...Maiti ya Farida ilikutwa Mkuzu Guest House,Chumba No.3 Magomeni,Walienda Guest mida ya usiku na Maiti ilitolewa chumbani baada ya Polisi kuvunja mlango.

Hii ndo ilokuwa inazungumzwa leo katika kipindi cha Leo Tena?

Mbona haikusemwa hiyo ya kukatwa uke? Na mwanamme si Mwarabu?
 
TECHMAN,Msemaji wa familia alipunguza ukali wa mambo...Maiti ya Farida ilikutwa Mkuzu Guest House,Chumba No.3 Magomeni,Walienda Guest mida ya usiku na Maiti ilitolewa chumbani baada ya Polisi kuvunja mlango.

unaona sasa?
na ile ya wos si ndo hii hii???????
 
Sijategemea kukutana na habari kama hii hapa Jf, Issa is like my brother(enzi hizo kiitani kariakoo mtaa wa donge).Simjui kiutandani Farida ila kwenye harusi yake nilimsindikiza issa kuoa(2008).toka siku ya harusi sijaonana tena na issa wala farida.

Duu hii kali, inabidi nianze mishemishe za kutafuta contact za watu wa kitaani ili nipate habari kamili.
R.I.P Farida.
 
Kutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.
Hii ni info ya muhimu sana ..jaribu kuipeleka polisi mkuu
 
Sijategemea kukutana na habari kama hii hapa Jf, Issa is like my brother(enzi hizo kiitani kariakoo mtaa wa donge).Simjui kiutandani Farida ila kwenye harusi yake nilimsindikiza issa kuoa(2008).toka siku ya harusi sijaonana tena na issa wala farida.

Duu hii kali, inabidi nianze mishemishe za kutafuta contact za watu wa kitaani ili nipate habari kamili.
R.I.P Farida.

Yaani!!

Inabidi JF Management waongeze disclaimer kwamba you are visiting JF on your own peril maana unaweza kukutana na habari za kukushtua ukazimia kama siyo kufa juu ya keyboard!
 
Dunia hii haina jema! Uwe single upweke unakusumbua, uoe unamegewa!
 
Kutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.
Afadhali wewe umemtendea haki marehemu maana hii story ya Fidel mpya na hatuambii kaitoa wapi
 
Back
Top Bottom