Maskini mke wa Issa Kamongo

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
R.I.P Farida
Sitaki niamini kuwa mmeo alikuwa hakupi matunzo ya kutosha mpaka ukarubuniwa na mwarabu wa dubai.
Kwa kweli inasikitisha sana Farida kwenda kumvulia nguo huyu mwarabu Guest ya Mkuzu Magomeni dah.
Jamani akina dada kuweni makini yasije wakuta yaliyo mkuta Farida kwa kupenda pesa za mwarabu akamuua guest.
Kinacho niuma zaidi huyu mwarabu amemmkata Farida uke wake dah
R.I.P Farida Salumu mtoto wa Tip Top
 
R.I.P farida...lakini fidel Kuna sababu nyingi sana za wanawake kutoka nje ya ndoa...si pesa tu....
 
R.I.P farida...lakini fidel Kuna sababu nyingi sana za wanawake kutoka nje ya ndoa...si pesa tu....

Lakini kuna sababu ya mwanamke kumegwa fasta na mtu ambaye wamekutana juu juu? Alafu mme/mke wa mtu
 
dah....rest in peace Farida.......sasa huo uke wa Farida huyo mwarabu nae kaupeleka wapi?.......
 
Lakini kuna sababu ya mwanamke kumegwa fasta na mtu ambaye wamekutana juu juu? Alafu mme/mke wa mtu
hapo ndo hatuna uhakika kuwa amekutana nao fasta au vp...heb scroll down kwenye phone book yako uone ni wake wangapi wa watu unaweza kuwamega in a go i mean unasisitiza tu two days unae...
 
Mkuu title inapingana na habari.
1. Issa kaongo hatumjui
2. Kwani huyu jamaa waloingia nae Guest ni Mwarabu??
3. Hata kama alikuwa hatunzwi jamani na pengine kwa mawazo yako hilo ndilo suluhisho, najiuliza hili la kumegwa tena na mtu asiyemjua? Hii haijakaa njema.
 
r.i.p farida...lakini fidel kuna sababu nyingi sana za wanawake kutoka nje ya ndoa...si pesa tu....

zipi hizo ndizo tunataaka zitajwe wanaume tujue tunakosea wapi kutoka pekee nje akusaidii kama unalala mtu kitanda kimoja na unashindwa kumwambia shida yake
samahani kama mko vitanda tofauti nasemea wanaolala pamoja ..najua za gorfa ya kwanza na ya pili
 
fidel,hata kama huo utupu wa farida muuaji kauchukua sio issue tena. manake marehemu hauhitaji. haya tena,kuna wale wenye fantasy ya kufanya mapenzi na total strangers, kazi ni kwenu!
 
Mkuu title inapingana na habari.
1. Issa kaongo hatumjui
2. Kwani huyu jamaa waloingia nae Guest ni Mwarabu??
3. Hata kama alikuwa hatunzwi jamani na pengine kwa mawazo yako hilo ndilo suluhisho, najiuliza hili la kumegwa tena na mtu asiyemjua? Hii haijakaa njema.

MKIRUA
Hapo namba tatu..akuna anaemvulia nguo mtu asiemjua aijalishi mmekutana leo lakini mkikubaliana mkaenda mpaka magomen na kuvua chupi kama alikuwa nayo maana wa magomeni wengi wako na chupiless ndio maana hata makalio yao ukiona wanatembea unaweza hisi kizunguzungu kumbe
ukinyanyua tu ile nanii ushafika jikoni....so lazima anamjua weweushawahi mvulia mtu wacha chupi nguo usiemjua??lazima kuwe na tatizo kama jaamaa wa oslo norway
 
fidel,hata kama huo utupu wa farida muuaji kauchukua sio issue tena. manake marehemu hauhitaji. haya tena,kuna wale wenye fantasy ya kufanya mapenzi na total strangers, kazi ni kwenu!

amekufa kifo kibaya sana, imagine alifanyiwa mangapi kabla ya kufikia kukatwa...
 
MKIRUA
Hapo namba tatu..akuna anaemvulia nguo mtu asiemjua aijalishi mmekutana leo lakini mkikubaliana mkaenda mpaka magomen na kuvua chupi kama alikuwa nayo maana wa magomeni wengi wako na chupiless ndio maana hata makalio yao ukiona wanatembea unaweza hisi kizunguzungu kumbe
ukinyanyua tu ile nanii ushafika jikoni..
..so lazima anamjua weweushawahi mvulia mtu wacha chupi nguo usiemjua??lazima kuwe na tatizo kama jaamaa wa oslo norway

Asa hapa unakauzoefu au umehamua tu kuwakashifu! Watakushtaki.
 
Kutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.
 
Mnatuchanga humu
hii habari na ile ya wos ya serial killer ni moja?
Je huyo mwarabu wa dubai ndo serial killer?????????
 
Back
Top Bottom