Maskini Dr. Mwinyi, mzimu wa kujiuzulu unamuandama kila wizara anayopewa

Hivi kama kasfa kibao mkuu wa kaya naazifahamu na amehsika toka akiwa ..............hadi sasa akiwa mkuu wa kaya halafu hajiuzulu kwnin Mwny ajiuzulu???????????

My take- hawa jamaa hawataachia madaraka coz wanamambo mengi sana ya kuficha watz tusiyajue.
 
Nguvu ya bunge ikitumika vema, dr.mwinyi aweza kuachia ngazi au kuondolewa kwenye nafasi yake na mh. Rais, tusubiri kikao cha bunge.
 
huyu amepewa uwaziri kama zawadi, sio mtendaji wala hawezi kuongoza. Pamoja na kuwa ni msomi mzuri anatakiwa kuwa chini ya usimamizi wa mtu, sio mtu wa kujisimamia mwenyewe. ufahamu wake ni mdogo sana katika suala la usimamizi. kwa ufupi HAFAI.
 
Back
Top Bottom