Masilahi na mshahara wa Diwani

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Wakuu naombeni sana sana sana anayejua masilahi ya diwani kwa mwezi namaanisha posho na mshahara ni kiasi gani atupie hapa jamvini. Kuna watu wanafanya kazi za kuimarisha vyama vya upinzani huko vijijini sasa ni bora wapate moyo sio wote kuwaza kugombea ubunge na uraisi tu bali pia udiwani na ngazi nyingine za chini.

Baraza la madiwani ni chombo mhimu cha maamuzi ktk halmashauri, manspaa au jiji hivyo ni vizuri kuanza kuwainspire vijana na wasomi waanzie siasa zao huko.

NAWASILISHA
 
Wanalipwa mshahara 350,000 kila mwezi na posho ya Kikao ambayo ni 70,000. Juzi waliomba waongezewe zifike 800,000 kwa mwezi, Sizonje akawaambia haongezi asiyeweza aache hiyo kazi
 
Back
Top Bottom