MASIKITIKO vs BIKIRA

Edmund

Senior Member
Jul 17, 2009
123
62
Nashuka basi stend hapo Mlandizi, nakutana na jamaa yangu kachafuka ile mbaya.
namuuliza nini tatizo anasikitika tu huku akisema kwa huzuni "demu wangu katolewa bikira hapo zahanati muda si mrefu rafiki"

Akaanza kunipa mkasa vizuri. anadai alikutana na huyu demu akamwimbisha ikawa Ok, kisha wakaenda Ghetto kupeana huduma, lakini kwa sababu ya woga wa yule demu uume wake ukaishia juu juu tu bila kutoboa nyavu, ila bao likatoka na kuzaa hiyo mimba. kwa sababu ya geti kali kwao na huyo dada ikabidi wakubali kuitoa.

Jamaa anasikitika kwanini hakuwa yeye wa kutoboa badala vyuma vikasaidia,kama ni wewe unaweza kudai ya kwamba umembikili huyo dada?.
 
mmh edmund wewe jaman
ebu ngoja kdg nsubiri finest.paka jmy,paka mweusi, na mwasu waseme then i wl b bak et dark city...
 
Ningekuwa karibu ningemrukia kichwa jamaa, yaani umeishampiga golikipa chenga halafu umebaki wewe na goli unapaisha mpira dah, yaani hadi vinyweleo vya kwenye vidole vya mguuni vimenisimama.
 
Kusingekua na rules hapa......(&*(^^^*
Hvi nini kilimzuia kuitoa hiyo bikra ndoa waende zahanati??
Stori yenyewe imekaa kiaina anyway....

kwamba uume uliishia juu juu hata bikira haikutoa lakini mdada kashika mimba....najifunza mapya kila cku humu...haya we!..uwezo wa roho mtakatifu kila upande.
 
kwamba uume uliishia juu juu hata bikira haikutoa lakini mdada kashika mimba....najifunza mapya kila cku humu...haya we!..uwezo wa roho mtakatifu kila upande.

Kuna stori nyingine zimekaa kushoto kweli.....
Suppose ilitokea hiyo ya mimba kuingia uume ukiwa nje.....alishindwaje kumalizia halafu ndo aende zahanati kutoa hiyo mimba??
 
Kusingekua na rules hapa......(&*(^^^*
Hvi nini kilimzuia kuitoa hiyo bikra ndoa waende zahanati??
Stori yenyewe imekaa kiaina anyway....

nashukuru mkuu kwa kunikumbusha kwani hata sikuwahi muuliza hilo swali, nitamuuliza siku yoyote tukionana.
 
Kuna stori nyingine zimekaa kushoto kweli.....
Suppose ilitokea hiyo ya mimba kuingia uume ukiwa nje.....alishindwaje kumalizia halafu ndo aende zahanati kutoa hiyo mimba??

Edmund kaamua kutupa ka stori ka kucndikiza weekend.
 
pole mwaya
utampata bikra mwngne..MBONA UMU JF WAPO WEEEEEEEENG SANA?
WASAKE
 
Amekosa kitu muhimu sana maishani mwake, na ktk karne hii anaweza asipate tena
 
Kuna stori nyingine zimekaa kushoto kweli.....
Suppose ilitokea hiyo ya mimba kuingia uume ukiwa nje.....alishindwaje kumalizia halafu ndo aende zahanati kutoa hiyo mimba??

Mkuu huyo jamaa ameikosea sana jinsia ya kiume inabidi tuunde TAMWA yetu chini ya wanasheria Msanii na Asprin na tuombe adhabu kali ya kufungiwa tendo hilo maisha yake yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom