Masikitiko Makubwa Mwanza- Mti wa Kumbukumbu umekatwa

It is very true that there are two ways of looking at this matter, from the PATRIOTIC side and the other side of COLONIAL agents. It should be known that no ordinary criminals were hanged in public but only the FREEDOM fighters and this is historical truth.
"The Govt of the day has decided that the tree was used to hang convicts.." This proves to which side is this goverment siding.
I am ashemed of my goverment if that is the case

Comrade,
Pls edit your post. That quote is not mine, its MTM's.Give him credit
The text following right under the quote is mine..so acknowledge source pls.
 
wamekalia mashujaa wa majimaji tu utafikiri peke yao ndio waliokufa kwenye vita ya kumng'oa mkoloni..sansana jk ndio anashupalia sana hawa mashujaa peke yao
 
AU ni toka aliache mkoloni nini!!
Viongozi wa sasa wanajisahau sana kuwaenzi mashujaa wetu waliopigania uhuru wa nchi yetu from colonial,wanakula tu kuku kwa mrija! Wanasahau kuwa raha zote hizi ni b/se of hawa mababu who fought all colonial for freedom! Huyo Afisa utamaduni wa MZA na wizara kwa ujumla itambulike kuwa hao mababu walikuwa ni MASHUJAA na sio WAHALIFU! Tuwaenzi kwa kuweka kumbukumbu zenye positive image to the whole society!
Badala ya "MTI HUU ULITUMIWA NA WAKOLONI KUWANYONGA WAHALIFU" ==iwe=="MTI HUU ULITUMIWA NA WAKOLONI KUWANYONGA MASHUJAA WETU"
 
Unaponitajia ukoloni unanikumbusha machungu walopata mashujaa wetu. Naamini ndugu zetu walipinga ukoloni na wakaonekana wahalifu. Akina mangungo ndo walikuwa maswaiba wa wazungu. Anyway wekeni kumbukumbu vizuri ili tuje tuirejeshe kwa ufasaha. Najua tunaweza. Itz the matter of time.
 
nimepita pale juzi nikabaki nashangaa tu baada ya kuona kibao kile......nikauliza mzee wangu akanambia hivi'' nchii hii watenda mema wote ni wahalifu..mwenye akili timamu haezi kuandika hivyo''
 
Sijui CCM imepata laana gani maana hata kuna mti ulikuwa pale kijitonyama pale walipojenga majengo mapya ya mawaziri ajabu sana kuwa serikali ili ruhusu ule mti kukatwa na kutokomeza historia yake kabisa, sasa sijui ni wataalam hatuna wazuri au ni hawa wana-siasa wetu hawajui jinsi ya kutoa maamuzi bora kwa faida ya kizazi kilichopo na kijacho hata nashindwa kuelewa kabisa.
 
Haya ni masikitiko makubwa kwa upande wangu pamoja na wale wanaothamini historia yao. Bob Marley alipata kusema"if you don't know your history,then you don't know where you are coming from".

Jijini Mwanza kuna alama ya mti ambao ulitumika kuwanyongea Waafrika wapinzani wa Ukoloni na serikali yake.Mti huo uko citycentre,umekatwa na kupakwa rangi. Kwa wageni Mwanza,eneo ni round about ya Nyerere road,Kenyatta road,Makongoro road na regional drive pale kwenye jengo la Benki kuu.

Kilicho nisikitisha zaidi ni uamuzi wa serikali kuweka kibao (display) kilichoandikwa "MTI HUU ULITUMIWA NA WAKOLONI KUWANYONGA WAHALIFU" Shabaash! Wahalifu? Yaani bado tunaakili za kikoloni? Hawa ni MASHUJAA na tunapaswa kuwaenzi. Kuwaita wahalifu ni ukosefu wa nidhamu na haya ni matusi ya wazi kwa wapigania uhuru.

Watu hawa walimwaga damu na si maji hivyo Bendera ya Tanzania iwe na ufito au mchirizi mwekundu ili kuonesha thamani ya damu ya mashujaa hawa.Kwani vita ilipiganwa kuleta uhuru vita ya majimaji na nyinginezo. Wito wangu kwa afisa utamaduni wa Mwanza abadili maneno ya kibao na Serikali iweke rangi nyekundu kwenye bendera yetu. Ukweli inasikitisha sana.

Hata mimi zamani nilikuwa naupita tu ule mti bila kujua lolote, ndipo siku moja mzee wangu akanipa habari kamili kwamba pale walikuwa wakinyongwa watu walioupinga ukoloni, na si wahalifu kama wengine wanavyosema , huu mti waliuacha bila kuutunza mpaka ukakauka kisha wakaamua waumalizie kabisa kwa kuukata na kuupaka rangi, sijui ni tatizo gani walilonalo viongozi wetu. hasa huko manispaa ya jiji!!

Mimi ningewashauri kama waliweza kutengeneza lile sanamu la samaki, wajipange waukate huo mti kabisa kisha watengeneze sanamu ya kumbukumbu ya hao walionyongwa na mnyongaji kama walivyofanya kule Bagamoyo, hii itakuwa kivutio kikubwa kwa jiji la Mwanza.

mticllassic.JPG 100_0964.jpg watumwa.JPG
 
Haya ni masikitiko makubwa kwa upande wangu pamoja na wale wanaothamini historia yao. Bob Marley alipata kusema"if you don't know your history,then you don't know where you are coming from".

Jijini Mwanza kuna alama ya mti ambao ulitumika kuwanyongea Waafrika wapinzani wa Ukoloni na serikali yake.Mti huo uko citycentre,umekatwa na kupakwa rangi. Kwa wageni Mwanza,eneo ni round about ya Nyerere road,Kenyatta road,Makongoro road na regional drive pale kwenye jengo la Benki kuu.

Kilicho nisikitisha zaidi ni uamuzi wa serikali kuweka kibao (display) kilichoandikwa "MTI HUU ULITUMIWA NA WAKOLONI KUWANYONGA WAHALIFU" Shabaash! Wahalifu? Yaani bado tunaakili za kikoloni? Hawa ni MASHUJAA na tunapaswa kuwaenzi. Kuwaita wahalifu ni ukosefu wa nidhamu na haya ni matusi ya wazi kwa wapigania uhuru.

Watu hawa walimwaga damu na si maji hivyo Bendera ya Tanzania iwe na ufito au mchirizi mwekundu ili kuonesha thamani ya damu ya mashujaa hawa.Kwani vita ilipiganwa kuleta uhuru vita ya majimaji na nyinginezo. Wito wangu kwa afisa utamaduni wa Mwanza abadili maneno ya kibao na Serikali iweke rangi nyekundu kwenye bendera yetu. Ukweli inasikitisha sana.

....the ppo who did that duh!!!!
 
Back
Top Bottom