Masikini Babu Seya, hali yake kiafya yawa mbaya apelekwa Muhimbili

Aliwaambukiza watoto wasio na hatia ugonjwa wa UKIMWI acha nae afe taratibu kwa mateso
Una uhakika? Iv unafri kila wote wanaoenda jela wamekosa? Kama huna uthibitisho kaa kimya mkuu
Hii dunia yawenyewe
 
Acha dhambi, TISS wenyewe wanakwambia kabisa ngoma ilisukwa mwanzo mwisho! Just to full fill his majesty heart! !

Still naamini huyu mzee simjui wala hajui kama naumia kwa ajili yake na sihitaji anijue! But the scenario is really painful.

Nikizingatia ni mtoto wa mkulima ambaye if something happens no can stop them for me except God! Loh! !

God will continue to wipe the tears on the heart of this man kwa kweli! !
Hakika umenena mkuu binafs naumia sana kuhusu hawa jamaa
 
waliofanyiwa mmoja wapo ni mtoto wangu
Kile unachoomba kwa mungu nae atakupa ukiomba mkate utapewa mkate
Na ukiomba jiwe na utapewa jiwe na tambua kuwa kinywa kinaumba
Ongeza juhud hakika utakipata unachokitaka
 
Kile unachoomba kwa mungu nae atakupa ukiomba mkate utapewa mkate
Na ukiomba jiwe na utapewa jiwe na tambua kuwa kinywa kinaumba
Ongeza juhud hakika utakipata unachokitaka
mi naongea ya moyoni..wewe unaleta hekaya za kishoga unanitia hasira ujue
 
§§¤¤...nimetoka kumchek Msela Jela maskani yetu Sinza!
...naongea kwa uchungu huku nalia,watu wanaamini kesi yake!
...kanambia yeye HAKUKOSA!.,ila USHAHIDI HAUKUTOSHA!...TUMUOMBEE MUNGU atatoka!
...mama'mama'mama'mama'iii mama'mama'mama'mama'iiii§¤
 
Hivi maisha yako kila kitu ni siasa? Bila shaka wewe kiongozi wa ccm akimlawiti mtoto wako utashangilia sana.

Akili zenu bavicha katika ubora wenu. Mbowe kwa kweli kafungia funguo za bongo zenu.
 
Kunamgombea mmoja wa chama fulani wakati wa kampeni alisema atakwenda kuwatoa kaishia wapi?
 
Acha dhambi, TISS wenyewe wanakwambia kabisa ngoma ilisukwa mwanzo mwisho! Just to full fill his majesty heart! !

Still naamini huyu mzee simjui wala hajui kama naumia kwa ajili yake na sihitaji anijue! But the scenario is really painful.

Nikizingatia ni mtoto wa mkulima ambaye if something happens no can stop them for me except God! Loh! !

God will continue to wipe the tears on the heart of this man kwa kweli! !

Hivi babu seya alihukumiwa wakati wa utawala wa nani? Nadhani una tatizo la kumbukumbu.
 
Aisee, Mi sielewi kuhusu ili suala, lakini nafsi yangu huwa inagoma tu kukubali kuwa hawa watu walifanya hayo yote hata kupewa adhabu ya kizazi chote. Sio shabiki wa babu seya wala chochote, ila my spirit keeps on denying this accusations. Anyway Let leaves it onto God
 
Back
Top Bottom