Elections 2010 Mashushushu kumwagwa majimboni

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Katika pita pita yangu huko uswahilini mitaaa ya Mtakuja , Uhuru na baaadae kuelekea maeneo ya home Capri-Point.

Nikiwa njiani baada ya kupita uwanja wa nyamgana kama naenda kamanga ferry nikakuta na rafiki yangu wa zamani sana tulisoma nae High School Dar nikakumbuka yeye alikwenda kuchukuwa mafunzo ya ushushushu, nika piga nae story mbili tatu hivi na kumuuliza kulikoni huku akpiga chenga na baaadae mtu wangu mmoja akniambia kuwa makini sana mashushu wamemwagwa huko majimboni kwahiyo mkaaapo kwa migahwa na kupiga maporojo angalieni sana tiali walisha mwagwa kusikiliza umbea na akasema esp majimbo yenye upinzani mkubwa(eg Nyamagana hapa,Nzega,Iringa-mjini bila kusahau Arusha-mjini) ndio wako kibao na wanavinasa sauti.

Sasa sielewi hawa watu wamemwagwa kwa ajili ya kucheck usalama wa nchi au raia? na kama wapo kwa ajili ya usalama wa raia thats wel and good ila kama wapo kwa maslahi ya chama fulani then that's no free democracy and its not a fair and free election, maana kipindi hiiki kila raia anaongea lake atamkashifu huyu na yule maneno yata semwa meeengi ila mtu fulani akisemwa utashangaa Police hawa hapa ati mnamsema fulani kwani au mwamkashi fulani kwanini

Kwani at the end mbunge atakae chaguliwa bado ni mtanzania yule yule na atwaongoza watu wale wale wa kwajimbo lake
 
Ndugu yangu Jethro, Usiwe na wasi wasi mashushu wengi ninaowajua wanamuunga mkono Dr. Slaa. Siku ya Jumapili nilikuwa na baadhi. Wanamchukia Kikwete kama nini! wanamsema hata kwa majina ambayo siwezi kuyaandika katika safu hii. Na wanahimizana kila mmoja awataarifu ndugu, jamaa na marafiki kumpigia dr. Slaa.

They are all tired. Kwa taarifa zaidi nao walichukizwa na yule mnajimu wa Jeshi kujiingiza katika siasa waliona amejidhalilisha...

Cheers

Kumbuka Nembo hii ni ya chama cha Upinzani.
View attachment 14822
 
Duuuh me nacho jua nikuwa enzi ya JK alipo ingia madarakani 2005 walipishana sana na usalama wa taifa kwani JK ni mbishi sana na hasikilizi ushauli na hilo ndilo tatizo nililokuwa nalisema huko nyuma Wana mtandao walijipanga kuukwamua Urais ila hawakujipanga kuingia IKULU na kwenda kufanya nini IKULU matokeo yake Fadhira zimewaponza mbay na wamejikuta hapo walipo.

Ila kuna mashushushu wengine ni vilaza kweli na wako kwa ajili ya pesa ni njaaa tuu

Hakuna sababu ya kuwaogopa mashushu hao bali mna jukumu la kuwaambia kuwa mwaka huu Kikwete chei (hapana) ili waanze kujiandaa kufanya kazi katika utawala mpya. Cha kujihadhari nao ni kuwa wasikununulie chakula au kinywaji chochote kwani utawaruhusu wakukolimbe.
 
Kikwete anawahitaji WATANZANIA
WATANZANIA wamemstukia kinoma.
Naomba shushushu mmoja aje mtaani kwetu maana kuna vibaka kibao naamini ataleta kautulivu fulani hivi LOLs
 
Mbona hao ni wenzetu tuu na tupo nao saana nao wamechoka na hali hiii!
 
Soma maandiko matakatifu haya na wasiwasi wote ulionao utakutoka:-

ISAIAH 54:17 No weapon raised against you shall prosper; and every tongue which rises against you in judgment , you shall condemn. This is the inheritance of the servants of the LORD, and their righteousness is from ME" Says the LORD.
 
Kwa upelelezi wangu nimegundua zaidi ya 85% ya wana jf wote ni wapenzi au wanashabikia CCM,wakiwa wanachangia mada kwa pamoja wanajifanya wapinzani lakini pembeni wao ni CCM!machoni kama watu moyoni hamna kitu!Jiwekeni wazi tuu kama MS,JK
 
Mie nawashangaa hawa Watanzania wenzangu ambao wanatumiwa na hawa jamaa,kwa kigezo kuwa ni usalama wa taifa.Hawa ni Watanzania na tuko nao na kama hali itakapokuwa mabya kutokana na nchi kuliwa na mafisadi naye huyo usalama yumo ndani ataumia tu.Sukari ikiuzwa 10,000/- yeye naye yumo.Enyi usalama wa Taifa hebu tumieni taaluma yenu kwa ajili ya maendeleo ya taifa na sio kikundi cha watu wachache,kama ilivyo sasa.

usalama wa taifa amka!!!!!!!!!!!!!!! tuwaamshe hawa wandugu maana wamelazwa usingizi na watawala wao.
 
Siku UWT ya Tz itafanya kazi yake kwa uadilifu na maslahi ya Taifa la Tanzania hatutahitaji mfadhili yoyote kutununulia neti za mbu na panadol za malaria. Achilia mbali elimu na afya bure. Hawa UWT wanajua na wanaona mengi, tatizo wanafanya kazi na kiongozi asiyejitambua. Octoba 31, Tuwawezeshe UWT watufanyie kazi kulingana na kodi zetu.
NB: Hawa UWT sio watu wa kuogopwa kihivyo, maana mida hii wanafanya kazi nyepesi nyepesi za kufumania (kwa wazee wa Infi) na kufuatilia vibaka na si mibaka-uchumi au Al-shabaab
 
Kwa upelelezi wangu nimegundua zaidi ya 85% ya wana jf wote ni wapenzi au wanashabikia CCM,wakiwa wanachangia mada kwa pamoja wanajifanya wapinzani lakini pembeni wao ni CCM!machoni kama watu moyoni hamna kitu!Jiwekeni wazi tuu kama MS,JK

Kalale ukue upate akili. Naona pombe zisha panda kichwani, MS!!
 
anajua usalama wa taifa hawampendi ndio maana siku hizi anatembea na silaha kiunoni,tumwombea malaria isimpande kichwani akasababisha mambo mengine,very shameful
bussiness,rais kazungukwa na walinzi asiowaamini,lets hope is our hope that,,no harm is going to happen
 
Kwa upelelezi wangu nimegundua zaidi ya 85% ya wana jf wote ni wapenzi au wanashabikia CCM,wakiwa wanachangia mada kwa pamoja wanajifanya wapinzani lakini pembeni wao ni CCM!machoni kama watu moyoni hamna kitu!Jiwekeni wazi tuu kama MS,JK

Lete data za utafiti wako. Inawezekana ni hata 90% (ingawaje hakuna takwimu) lakini mimi ndugu zangu zaidi ya 30 wote ni wanachama wa CCM ikiwa pamoja na mimi. Lakini tunamchagua Rais wa watanzania kwa ajili ya maendeleo ya watanzania siyo rais wa CCM! So, wake up and join the weaking team. Usiwe na wasiwasi wowote, Tuna uthibitisho wa mengi aliyofanya Dr. Slaa akiwa siyo Rais, akiwa rais ataweza kurejesha jamii usawa katika nchi hii. Tutakuwa na mifumo inayofanya kazi na nina uhakika atafanya kazi kwa uadilifu kwa sababu anajua kuwa asipoperform, Tazt hawana mchezo.

Kwa taarifa yako CCM hawafanyi chochote kwa sababu wanawadharau watz kuwa hawana uwezo wa kufikiri!!! sasa wameamka.
 
Kwa upelelezi wangu nimegundua zaidi ya 85% ya wana jf wote ni wapenzi au wanashabikia CCM,wakiwa wanachangia mada kwa pamoja wanajifanya wapinzani lakini pembeni wao ni CCM!machoni kama watu moyoni hamna kitu!Jiwekeni wazi tuu kama MS,JK

Tanzania haihitaji Synovate. Nafikiri waweza kufungua taasisi yako na kuweza kufanya shughuli hizi sijui research au intelligence.....ahaha ahaha:croc:
 
Wana JF,

Katika pita pita yangu huko uswahilini mitaaa ya Mtakuja , Uhuru na baaadae kuelekea maeneo ya home Capri-Point.

Nikiwa njiani baada ya kupita uwanja wa nyamgana kama naenda kamanga ferry nikakuta na rafiki yangu wa zamani sana tulisoma nae High School Dar nikakumbuka yeye alikwenda kuchukuwa mafunzo ya ushushushu, nika piga nae story mbili tatu hivi na kumuuliza kulikoni huku akpiga chenga na baaadae mtu wangu mmoja akniambia kuwa makini sana mashushu wamemwagwa huko majimboni kwahiyo mkaaapo kwa migahwa na kupiga maporojo angalieni sana tiali walisha mwagwa kusikiliza umbea na akasema esp majimbo yenye upinzani mkubwa(eg Nyamagana hapa,Nzega,Iringa-mjini bila kusahau Arusha-mjini) ndio wako kibao na wanavinasa sauti.

Sasa sielewi hawa watu wamemwagwa kwa ajili ya kucheck usalama wa nchi au raia? na kama wapo kwa ajili ya usalama wa raia thats wel and good ila kama wapo kwa maslahi ya chama fulani then that's no free democracy and its not a fair and free election, maana kipindi hiiki kila raia anaongea lake atamkashifu huyu na yule maneno yata semwa meeengi ila mtu fulani akisemwa utashangaa Police hawa hapa ati mnamsema fulani kwani au mwamkashi fulani kwanini

Kwani at the end mbunge atakae chaguliwa bado ni mtanzania yule yule na atwaongoza watu wale wale wa kwajimbo lake

Nusu yao si wataripoti kwa Dr. Slaa. Please don't worry!
 
Usalama awampendi kwa kuwabishia yafuatayo.1.kusalimia watu kwenye msafara 2.kumpa kazi /cheo yoyote anayemfaham.3.kwenda bila escot kwenye mikusanyiko ya jmii.
 
Back
Top Bottom