Tutaendelea kukosa umeme kwasababu wanatarajiwa watoe maamuzi "wanasherehekea" siku ya mashujaaMaadhimisho ya siku ya mashujaa, Yamemalizika Mnazi mmoja, Jk BWM naviongozi wengi wastaafu wamehudhuria. Hii ina maana gani kwa Tanzania ya Leo.?
Nji hii ishaoza! Usishangae anamkampenia aingizwe ktk listi ya watakatifu... Opss! Mashujaa wetu!Mtangazaji alipomtaja Waitara kama Mkuu wa majeshi, ni ulimi uliteleza au alikuwa anamaanisha Mkuu wa majeshi mstaafu?
Mtangazaji alipomtaja Waitara kama Mkuu wa majeshi, ni ulimi uliteleza au alikuwa anamaanisha Mkuu wa majeshi mstaafu?
Nimeipenda SIKUTUU. Ila nchi ambayo haienzi mashujaa wake ina walakini. (namna gani 'mashujaa' wamepatikana, sitaki kuingia huko)Sikukuu zingine zimebaki kuwa Sikutuu!
WOS....Salama?Nadhani mleta thread aliona tukio TBC1 then akakurupuka kuileta thread hapa jamvini....Yale yalikuwa ni marudio ya mojawapo ya maadhimisho ya miaka ya nyuma wakati Jenerali(rtd) Waitara akiwa CDF...Maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa kwa mwaka 2011 yanafanyika kesho(tarehe 25/07/2011) katika viwanja vya Naliendele MtwaraMtangazaji alipomtaja Waitara kama Mkuu wa majeshi, ni ulimi uliteleza au alikuwa anamaanisha Mkuu wa majeshi mstaafu?
Mkuu, ujue TBC wamefanya nilekebishe kalendar ya saa yangu na simuMbona sikukuu ya mashujaa ni kesho kule Naliendele Mtwara?
WOS....Salama?Nadhani mleta thread aliona tukio TBC1 then akakurupuka kuileta thread hapa jamvini....Yale yalikuwa ni marudio ya mojawapo ya maadhimisho ya miaka ya nyuma wakati Jenerali(rtd) Waitara akiwa CDF...Maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa kwa mwaka 2011 yanafanyika kesho(tarehe 25/07/2011) katika viwanja vya Naliendele Mtwara
point of correction kesho ndio siku ya mashujaa na kitaifa itafanyka Naliendele Mtwara hyo iliyoonyesha leo ni ya miaka ilyopta ndio maana hata mkuu wa majeshi ulisikia ni Waitara na meya kuwa ni A.KIMBISA.Mtangazaji alipomtaja Waitara kama Mkuu wa majeshi, ni ulimi uliteleza au alikuwa anamaanisha Mkuu wa majeshi mstaafu?