Mashujaa day: Live on TBC1

Nauliza jamani hivi kesho ni siku ya kazi kama kawaida?!au ni mapumziko??!nisaidieni
 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wazee waliopigava Vita, ambao ni sehemu ya mashujaa wa Tanzania, wakati wa maadhimisho ya Siku ya mashujaa iliyofanyika kwenye viwanja vya naliendele, Mkoani Mtwara leo Julai

MY TAKE:

Kweli tunawaenzi, ona suti mpya, baada ya hapo watasahaulika kabisa, na watabaki wanakumbuka suti za bure ambazo watashindwa hata kuzipeleka dry cleaner kwa ukosefu wa hela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom