Mashtaka mapya yanayowakabili Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA

Watabadili,wataongeza,watapunguza ila mwisho wa yote wataangukia pua tu.acha chezea Advocate Kimomogoro weye,jamaa ni nomaaa anakaba kila kona...sijui CHADEMA huwa wanavitoa wapi vichwa kama hivi.
 
Kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA,Freeman Mbowe,Dr Slaa,Mwigamba,Magoma,Wabunge Lema,Selasini,Ndesamburo,na wanachama wengine,inaendelea leo,kwenye mahakama ya hakimu mkazi Arusha.
Baada ya kubadilishiwa mashtaka,leo wakili wa serikali anasoma mashtaka mapya 13,
Ntaendelea kuwajuza.
$$$$@@ Anaweza kuwababuseya!!! akina Slaa ooh tuwe macho!!
 
Kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA,Freeman Mbowe,Dr Slaa,Mwigamba,Magoma,Wabunge Lema,Selasini,Ndesamburo,na wanachama wengine,inaendelea leo,kwenye mahakama ya hakimu mkazi Arusha.
Baada ya kubadilishiwa mashtaka,leo wakili wa serikali anasoma mashtaka mapya 13,
Ntaendelea kuwajuza.
Kazi ya serikali ya maghamba ni kuzidi kubambika watu kesi wanadhani wanawakomoa kuwapotezea muda, kumbe wanazidi kuwajengea popularity!!!! Ahsante kwa taarifa mkuu tutaona mengi mwaka huu!!!!!

 
Kama kafilamu fulani hivi kameanza ngoja tuone mwisho wake maana moja ya mambo aliyoahidi Dr. Slaa ni nchi kutotawalika kama watamfuatafuata.

Bora kesi hii itupilwe mbali haina mashiko.
 
Hii tactic ya kuwaweka wapinzani busy na kesi ilifanya kazi kwa mrema ila kwa CDM watagonga mwamba. The more they use these cangaroo cases the more publicity CDM gets and most likely kwa kuwa wananchi wengi hawana imani na Polisi wala mahakama ni dhahiri kesi hii haina masilahi kwa CCM.
 
Wasomi wenzangu walioandaa hati hiyo ya mashtaka wamekwenda halijojo.Hakuna shtaka hata moja litakalowatia hatiani washtakiwa wote.Jamani,jamani,jamani hivi kwanini ukifanya kazi Serikalini unapungukiwa na akili?!
 
Hii tactic ya kuwaweka wapinzani busy na kesi ilifanya kazi kwa mrema ila kwa CDM watagonga mwamba. The more they use these cangaroo cases the more publicity CDM gets and most likely kwa kuwa wananchi wengi hawana imani na Polisi wala mahakama ni dhahiri kesi hii haina masilahi kwa CCM.

Kwa 100% nakubaliana na wewe na hili nimelisema katika Topic zangu nyingi humu ndani ya JF,
Lakini kama niseme tu kwamba kuna mchezo mchafu unaendelea hapa kati ya ccm kwa kuitumia serkali yake.wameongeza mashtaka hayo ili,kuifanya cdm ikose umakini katika kampeni zake huko arumeru na sintoshangaa muda si mrefu pindi ukisikia mahakama imetoa amri ya viongozi hao kukamatwa ili tu wasifanye kampeni kikamilifu pale arumeru mashariki.

Tayari tumewasikia ccm wakianza kuwatumia wazee, kama kawaida yao na kutoa tamko ambalo ni la kichochezi dhidi ya Mh Lema kwamba asikanyage huko arumeru.je ccm mnatupeleka wapi?
 
Huo mda wangeutumia kupunguza idadi ya kesi ambazo ziko pending na mahabusu wako lupango for the last 5 years.
Wanamiss use mda na resources za serikali kwa kesi za kisiasa ambazo nyingi lengo huwa kuwapotezea mda wahusika na kudisturb concentration kwenye mambo ya msingi
 
Inanipa shida sana kuwaamini polisi wa Tanzania, hivi wawapige watu risasi tena tena wasiokuwepo kwenye maandano, halafu wanafungua kesi za kusadikika ambazo hata mtu aliyeishia drs I atawashangaa. Hivi hawa watu akili zao zimetiwa nini? Kwali ndugu yeye siwezi kumshauri kwenda kusomea kazi ya hovyo kama hii isiruhusu mtu kufikiria zaidi ya kutekeleza maagizo yatokanayo na ushetani kiongozi siku wa siku hiyo. Wanashindwa kuwafungulia mashtaka watuhumiwa waliokula njama kuwaua viongozi wetu wapigania haki kina Dr. Mwakyembe na wenzake na ushahidi wa kutosha umewasilishwa kwa IGP. Watuhumiwa wa ufisadi wanaendelea kudunda mitaani, Watanzania tulio vijijini tunashuhudia uonevu huo na tunaona watetezi wetu wanavyoundiwa kesi, ikiwa polisi haiwatambui wahalifu basi sisi tutakapochukua sheria mkononi wasitulaumu.
 
Nasubiri mwisho wa hii film, inaonekana ni tam sanaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
w
TIMU KALI YA VIONGOZI CDM IMEPATIKANA JIMBO SEGEREA!...Uchaguzi uliofanyika j2 ya tar19 baada ya kujiuzulu kwa uongozi uliokuwepo,umepelekea kupatikana kwa timu kali(Barcelona).Viongozi waliochaguliwa ktk nafasi ya uenyekiti,ukatibu,na ukatibu wa itikadi+uenezi inasemekana wanapikika chungu kimoja na wamebatizwa jina la 'mapacha wa3',..Inaelezwa kwamba kwa kikosi hiki ccm imekwisha!!
Sawa lakini huyo katibu ni hovyo,maneno mengi kujituma ziro, hawezi kutunza siri. A taweza kwenda na kasi ya CDM?
 
Huyo hakimu atakuwa ni magesa tu huyo hana lolote ni kilaza tu, tena anasoma masters hapo makumira
 
Back
Top Bottom