Mashoga Wazidi Kuongezeka Bongo, Wasaka Wanaume hadi Viwanja vya Soka

Ni rahisi sana kuendelea kubisha kwamba kifo kipo na kinatusbiri kwa sababu tu bado tunapumua.
KWa mtaji huo wa ubishi ng'ang'anizi Wengi tutajua kifo kipo siku yetu ikifika.
Mashoga Tanzania wapo siku zote.
Zanzibar wapo wengi zaidi.
Mra ya mwisho niliwaona kwa uwingi wa ajabu pal Fisherman resort nafikiri ni Hotel ya Naushad Mohamed wakiasubiri teksi zije ziwachukue kwenda huko kwa mizee ambayo haiko tayari kuonyesha nyuso zao hapo.

Mashoga wapo na wanatembea na watu wenye heshima kubwa sana katika Madehehebu yao na Imani zao.

Tunachopinga kwa nguvu huku tukiwa na uwingi wa unafiki ni kutangaza hadharani Uhalili wa kuishi kinyumba kishoga.

Mashoga wako wengi Mabasha je???
 
Shoga ni yupi? Anayetiwa au anayetia au wewe kama unapenda wanaume, kutia ama kutiwa, ni shoga?
 
Mashoga na lesbian wanasababu zao za kuwa hivyo.Mwanaume aliyekamilika viungo vyake na brain yake hawezi fanya hichi kitu.
vile vile mwanamke aliyekamilika viungo vyake na brain yake hawezi kufanya kitu kama hicho. Hivyo watu walioamua kuwa shoga au lesbian ninavyoona mie something wrong kwenye maumbile yao au brain yao,
Mtu aliyekamilika hawezi kulala na mtu mwenye jinsia yake halafu akahisi matamanio.
 
Ukiitazama picha utaona watu wako makini huku wengine wakiwa na furaha sana, hapa naitafsiri picha hii kama ni ya kufurahisha tu, na wote waliopo wanafurahi tu pasina shaka, nastaajabu hii jamii inawaza nini, je hili suala ni halali? je watu wana imani hawaa! nafkiri hata akivua nguo watu watafurahi zaidi na kushangiliwa sana, ndiyo maana watu hawa sasa wanajitapa hadharani,je? ingalikuwa haramu hiyo kitu watu wangelimzunguka hivo au utashi hkuna
hata mm nimeshangaa sana
 
Mashoga na lesbian wanasababu zao za kuwa hivyo.Mwanaume aliyekamilika viungo vyake na brain yake hawezi fanya hichi kitu.
vile vile mwanamke aliyekamilika viungo vyake na brain yake hawezi kufanya kitu kama hicho. Hivyo watu walioamua kuwa shoga au lesbian ninavyoona mie something wrong kwenye maumbile yao au brain yao,
Mtu aliyekamilika hawezi kulala na mtu mwenye jinsia yake halafu akahisi matamanio.
 
Bongo hakuna maashoga na wasaka Tonge tu Tembea Dunian uone ndio utajua ukweli walivyo na walivyo jilemba mpaka Maziwa wanayo
 
Back
Top Bottom