Mashoga Wazidi Kuongezeka Bongo, Wasaka Wanaume hadi Viwanja vya Soka

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Mashoga Wazidi Kuongezeka Bongo, Wasaka Wanaume hadi Viwanja vya Soka
2091882.jpg

Shoga anayejulikana kama Hi Rona au Miuno Love akiwa amezungukwa na watu waliokuwa wakishangaa vimbwanga vyake

Idadi ya mashoga imezidi kuongezeka bongo hivi sasa kiasi cha kwamba baadhi ya mashoga wanaojiuza mitaani kutokana na kukosa wateja mitaani kwa sababu ya wingi wao, siku hizi wanavamia viwanja vya soka kusaka wateja.Katika mashindano ya Kili Taifa Cup yanayoendelea kwenye uwanja wa uhuru, shoga mmoja ambaye anajulikana kama Hi Rona au Miuno Love alitinga kwenye uwanja huo na kufanya vituko katika jitihada zake za kutafuta mteja.

Miuno Love alisema kwamba lengo lake la kuja uwanjani ni kutafuta wateja ili apate chakula chake kwakuwa huko mitaani warembo wenzake wamejaa sana kiasi cha kumkosesha raha.

Shoga huyo aliyekuwa amevaa gauni refu na kandambili zilizojaa vumbi alisema kwamba watu wanaokuja uwanjani wanajua kuchagua vizuri kwahiyo ana uhakika atapata mwanaume wa kuondoka naye.

Shoga huyo ambaye alikuwa haoni aibu kwa watu waliokuwa wamemzunguka wakimshangaa alimvuta mwandishi wa habari hii na kumnong'oneza "Niachie hata mia tano basi si unajua nimekupa siri zangu".

Shoga huyo alifanikiwa kuingia uwanjani bila ya kulipa chochote ingawa mlangoni kulikuwa na mabaunsa waliokuwa wakiwakomalia watu watu wengine walipe.

Hivi karibuni shoga mwingine wa Tanzania ambaye alijibadilisha jinsia kuwa mwanamke ambaye alikuwa maarufu kwa jina la Anti Aluu alijiua kwa kunywa sumu.
 
kwa kweli hii inatisha si burudani ni majonzi. Nashangaa anti aliyevaa njano pembeni anacheka badala ya kulia. Hii ni balaa na laana, si kawaida. NALILIA KIZAZI CHETU. MUNGU WA MBINGUNI NAOMBA IREHEMU TANZANIA.
 

Attachments

  • SGH 3.jpg
    SGH 3.jpg
    2.2 KB · Views: 3,956
  • SGH 4.jpg
    SGH 4.jpg
    4.1 KB · Views: 521
  • SGH 5.jpg
    SGH 5.jpg
    2.2 KB · Views: 3,939
Umefika wqakti wa kuanza kutaja wanaowachafua labda watasaidia hawa mashoga kuacha
 
Hivi kwani wateja wa hao mashoga ni wa jinsia gani??? Mhh.. Mara machangudoa mara ma ni nihiiiiii. Kiama hicho.
 
Sabri watasaidia kidogo....kwa mawazo yangu...........tu
 
Ukiitazama picha utaona watu wako makini huku wengine wakiwa na furaha sana, hapa naitafsiri picha hii kama ni ya kufurahisha tu, na wote waliopo wanafurahi tu pasina shaka, nastaajabu hii jamii inawaza nini, je hili suala ni halali? je watu wana imani hawaa! nafkiri hata akivua nguo watu watafurahi zaidi na kushangiliwa sana, ndiyo maana watu hawa sasa wanajitapa hadharani,je? ingalikuwa haramu hiyo kitu watu wangelimzunguka hivo au utashi hkuna
 
Hawa watu wamejaa sana Zanzibar dah kule wapo wengi sana.
Alafu biashara inafanyika kwa uwazi na watu hawaogopi.
 
hawa watu wamejaa sana zanzibar dah kule wapo wengi sana.
Alafu biashara inafanyika kwa uwazi na watu hawaogopi
hata dar mkuu...magomeni sinza kariakoo akufai.....majuzi nilipitasehemu nkakuta wamepangana wanajiandaa kuanzisha blog yao ili wasipate matatizo kwenye soko.;una shida contc zipo nje nje......hatari tupu

mungu uturehemu
 
Hawa watu wamejaa sana Zanzibar dah kule wapo wengi sana.
Alafu biashara inafanyika kwa uwazi na watu hawaogopi.


Ohh mkuu nimekupata. Ndiyo maana watu wakipata malaya wanaulizwa ''unataka zanzibar au bara"". Du kumbe ndo wanamaanisha kuchuma mchicha/tiGo. Astafulahi!!!!
 
Inaonekana wajisikia raha sana ukiiitaja Znz si ndio?

Mshaaaaaaaaanza uzanzibar uzanzibara.mi simo
 
Ohh mkuu nimekupata. Ndiyo maana watu wakipata malaya wanaulizwa ''unataka zanzibar au bara"". Du kumbe ndo wanamaanisha kuchuma mchicha/tiGo. Astafulahi!!!!

Wewe bana acha matusi ya rejareja ..ustaarabu hauuzwi dukani.
 
Mambo ya ushoga miaka hii yanashangiliwa na kusifiwa hasa, na majina ya hizo njia za uchafu yamekuwa maradufu na maarufu, ukiingiza uchafu ni lazima utoe uchafu, mke kadhalilishwa kutendwa kinyume na ilivyoamrishwa na bado yeye karidhika' mume kageuzwa mke naye alilia apewacho dadaye eti ndo usasa wa maisha, hakika enyi ndugu zangu tuzame na 2fikiri juu ya hili, nasikia ni fasheni sasa vijana kula MTANDAO kwa wenzi wao, ati tu ni kuacha ni UKALE
 
HATA DAR MKUU...MAGOMENI SINZA KARIAKOO AKUFAI.....MAJUZI NILIPITASEHEMU NKAKUTA WAMEPANGANA WANAJIANDAA KUANZISHA BLOG YAO ILI WASIPATE MATATIZO KWENYE SOKO.;UNA SHIDA CONTC ZIPO NJE NJE......HATARI TUPU

MUNGU UTUREHEMU

PDidy; Hawa jamaa husema wamezaliwa hivyo lakini ukichunguza unaona wengine wameshawahi kuwa hata na mwatoto... meaning sivyo walivyoumbwa!!

Cha maana tuwataje mabazazi wao pia... ili tuwaweke mbali ka kids wetu

.......Dad:confused:
 
PDidy; Hawa jamaa husema wamezaliwa hivyo lakini ukichunguza unaona wengine wameshawahi kuwa hata na mwatoto... meaning sivyo walivyoumbwa!!

Cha maana tuwataje mabazazi wao pia... ili tuwaweke mbali ka kids wetu


yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeaehh there ur

no 1))
 
Hawa watu wamejaa sana Zanzibar dah kule wapo wengi sana.
Alafu biashara inafanyika kwa uwazi na watu hawaogopi.
Hata Bara (Dar) ndio wamejaa zaidi. wacha kupakazia Zenj. Walioko Zenj hufanya yao kwa nidhamu lakini walioko Dar hawana nichamu ndio hicho choo na karaha..
 
mimi natilia shaka hii picha isije ikawa jamaa alikuwa mburudishani pale uwanjani....
maana wapo wachekeshaji kibao mitaani wanapiga mapigo ya kike. hata kina joti nao wanajitahidi sana hata kugeuza macho na kurembua kuliko wanawake wenyewe. inanipa shaka lakini.

Ah sijui niseme nini hapa
 
Back
Top Bottom