Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

Status
Not open for further replies.
Hivi kwani watu wote duniani wanafuata hivyo vitabu?, hii sio hoja kabisa. Lazima ukubali kuwa tunaishi kwenye secular state, kwa hiyo hauwezi ukamwambia mtu asifanye kitu fulani kwa kuwa eti imeandikwa kwenye kitabu!!

From the Bible Read Leviticus Chapter 20 Verse 13 From Old Testament
´If a man also lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them´

Also Read Romans Chapter 1 Verses 21-26
21For although they knew God, they neither glorified him as God nor gave thanks to him, but their thinking became futile and their foolish hearts were darkened. 22Although they claimed to be wise, they became fools 23and exchanged the glory of the immortal God for images made to look like mortal man and birds and animals and reptiles. 24Therefore God gave them over in the sinful desires of their hearts to sexual impurity for the degrading of their bodies with one another. 25They exchanged the truth of God for a lie, and worshiped and served created things rather than the Creator—who is forever praised. Amen.
26Because of this, God gave them over to shameful lusts. Even their women exchanged natural relations for unnatural ones. 27In the same way the men also abandoned natural relations with women and were inflamed with lust for one another. Men committed indecent acts with other men, and received in themselves the due penalty for their perversion.

Hawa wanaoruhusu hizi ndoa sijui wanaposoma Biblia huwa wanaipindua upside down
 
kwa kifupi hamna kitabu cha dini yoyote na wala utamaduni wa Africa wowote unao ruhusu ushoga.hawa wa TZ wanaojifanya wanautetea me nawashangaa, afu UKIWAULIZA JE MWANAO AKIWA SHOGA UTAPENDA? yanabaki kimya na nafsi zinawasuta.

Sina tatizo na mtoto wangu kuwa shoga. Mapenzi yangu kwake hayana masharti. Wewe unaogopa utapatwa nini kama mtoto wako akiwa shoga? Au wasiwasi wako ni kuwa watu watadhani hizo genes amezirithi kutoka kwako? Kama hakai kwako utamfanya nini? Ufinyu wako wa kufikiri unaonekana unapodhani kuwa wewe umepewa mamlaka juu ya mwanao na kuwa ati ukimkana ndiyo utamuadhibu. Maisha yake ni yake na yako ni yako.

Mbona unaona fahari kujiita Semenya? Una maana wewe ni transgender? Ukiwa transgender utaolewa au utaoa nani? Ukioa mwanaume si utakuwa shoga maana maumbile ya kiume unayo na ukioa mwanamke si utakuwa msagaji maana maumbile ya kike unayo. Na hicho kitabu unachojifanya kukijua kina sema nini kuhusu watu kama wewe?

Amandla........
 
Duh sasa hii kali, sasa mungu huyu ambaye watu walikua wakimuogopa kipindi cha nyuma sasa wanaanza kumdhihaki, Hizo nyumba za ibada kuhidhinisha matendo ya dhambi wanatufundisha niniu sisi waumi. Sasa nabadili jinsi ya kuabudu, narudi enzi zile kabla ya ukoloni, kuabudu mizimu, maana haya mambo hayakuwepo huku kwetu tangu tumeletewa hizi dini na kutukataza maovu, lakini sasa hivi wao ndio wamekua mstari wa mbele tena kuja kuhalalisha. Ahhh nitaabudu mizimu sasa
 
Ila hata mkibadilisha majina of course ni walewale tu, na hata hizo order nyingi zinaanzia hukoo, then huku kwetu tunafuata mkumbo, ila ni hatari nyumba za ibada hufikia hii hatua, aisee hatari saana.
 
Mleta hoja alishiba jazba zake kabla hajaleta hoja hiyo, labda kwa sababu alitamani sana kusikia kitu kama hicho kikitokea Tanzania, au anatikisa kiberiti asikie waluteri wanasema nini Tanzania. Siamini amekosea jina la KKKT na hajui kwamba Sweden na KKKT ni vitu viwili tofauti. Amenukuu mpaka website, alikonukuu hakuna kitu kama KKKT. Pole, hakuna cha kujadili umefulia mada.

Leka
 
Leka eeh, Hivi una habari anaweza kuwa hakujua kuna tofauti? Umesahau wale wa barabara ya Ocean Road? Na kwenye hivi vifupi watu huwa wanavirukia tu bila kujiuliza maswali
 
Kanisa la KKKT nchini sweden litaruhusu na kuanza rasmi kufunga ndoa za mashoga
kuna mwenye usemi hapa tena?du bora hata sodoma sasa jamani
http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2009/10/091023_lutheran_gays.shtml
Inaelekea nyani ni msomi asiyejua maana ya alichokisoma.
KKKT maana yake ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
KKKT haiko Sweden, iko Tanzania.Hili ni jaribio la makusudi kuchafua jina la KKKT maana KKKT hapa Tanzania haina uhusiano wowote na yanayotokea huko Sweden.
Ushindwe ,utokomee na ulegee!!
 
sasa kwanin KKKT sio kanisa la kilutheri ?kwani watanzania ndio walioianzaisha hiyo lutheran? si waliletewa tu basi hata ushoga mda si kidogo wataletewa !!!!!!!! wapokeaji
 
Ila hata mkibadilisha majina of course ni walewale tu, na hata hizo order nyingi zinaanzia hukoo, then huku kwetu tunafuata mkumbo, ila ni hatari nyumba za ibada hufikia hii hatua, aisee hatari saana.
Kitu ni kile kile Mkuu manake hata misaada ming wanapata kutoka huko ina watakuwa wanapokea misaada toka kwa mashoga!!!!!!!!!!
 
mi nshaona sasa ivi dini ni mtu mwenyewe tu hamna cha kanisa wala nini na ndio maana pazia la hekalu lilipasuka ili tuweze wenyewe moja kwa moja kuwasiliana na SIR GOD
 
Sasa jamani mambo gani haya badala ya kufuata maagizo ya biblia watu wanapiga kura.....ina maana hii sasa ni siasa a sio dini tena ..hawa hawa ndio wamisionary waliotuletea dini sasa hivi wanai modify...na lazima tukubaliane na hizo modification manake sio sisi tuliogundua hiyo dini yenyewe
 
Sir God mwenyewe keshachoka manake kwenye biblia alianika haya mambo kuhusu sodoma ili watu wasirudie lakini ndio kabisa hili swala limefika hadi kanisani....na sisi tunavyowahusudu wazungu tutajifanya kufuata na sisi !!!! ila huwezi jua labda wamegundua bible nyingie inayoruhusu ...mda ukifika watatuletea WAPOKEAJI huku africa ...manake sisi si tumekaa tu na tutapokea !!
 
Jibu swali acha kukimbia, me mtoto wangu akiwa bwabwa namfukuza nyumbani kwangu na namkana mara moja

wewe mtoto wako akiwa Bwabwa utafrahi?

sikilizeni nyie mnaotetea ushoga..mungu kakuumba na sehem ya kiume ili uitumie ipasavyo, na si vinginevyo.acheni ujinga na calture ya wazungu hiyo...sio maadili ya Africa.
n

....yes brother,thats the way to go,lakini sijui kama ikifika hiyo point atakuhitaji wewe katika life yake na sijui kama atamiss chochote kutoka kwako,hivi hatujajifunza tuu tunapoonyesha hate tunachopata back ni hate tuu and nothing else!
 
You is gay!
 
Sasa jamani mambo gani haya badala ya kufuata maagizo ya biblia watu wanapiga kura.....ina maana hii sasa ni siasa a sio dini tena ..hawa hawa ndio wamisionary waliotuletea dini sasa hivi wanai modify...na lazima tukubaliane na hizo modification manake sio sisi tuliogundua hiyo dini yenyewe

...Hata babu yako angekuwa na elimu ya kuandika na kutunza kumbukumbu angeweza kuwa na bible yake,hizo bible zimeandikwa na watu kama wewe na zimebadilishwa mara nyingi katika History ya mwanadamu na zipo za aina nyingi na lazima ujue mambo mengi yalikuwa yanaandikwa kuwafaa walioyaandika na wafalme wao,ingewezekana kabisa kama kungekuwa na mwandishi pro gay angeweza kuandika hivyo na kwa rofa kama wewe usiyejua maana ya bible leo ungekuwa unawatetea mashoga kwa sababu bible imeandika hivyo...hii debate ya for/against ushoga kwa kutumia bible imeandika nini is just ridiculous!
 
Back
Top Bottom