Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

Status
Not open for further replies.
...kutetea mashoga doesnt mean mimi ni shoga ni urofa tuu unakusumbua wewe,hata interracial relationship zilikuwa illegal under the law (in US) na watu walienda jela kwa hizo discriminatory law na basis ya hiyo law eti it was "UNNATURAL",mashoga wapo walikuwepo na wataendelea kuwepo sasa kwanini kuwabagua kwa sababu ya imani ambazo hazina proof yeyote,generation ya watu kama wewe mngetangulia mtu mweusi bado angekuwa anakaa behind the bus

Nina wasiwasi na wewe huenda ni mmoja wao! Chukizo mbele za MUNGU unalitetea! Mmmh Mauchafu, kwani wanawake hawapo! Kwanini Mungu alimuumba adam na hawa? Kwanini Asimuumbe Adamu na Juma na kuwaweka pamoja? Kumbuka hata enzi za Nuhu aliagizwa achukue wanyama wa kike na wa kiume aingie nao kwenye safina! Ushoga ni chukizo mbele za MUNGU na kamwe haufai kutetewa! Sodoma na Gomora viliangamizwa kwa mambo haya! Hii ni laana na wala sio jambo la kutetea! Na kama wewe ni mmoja wao acha mchezzo mchafu huo mara moja
 
Kuna kitu amabacho kwa akili yangu nashindwa kukielewa kabisa. Kusudi kubwa la kufunga ndoa kwa dini yeyote ile ni kuendeleza jamii kwa uzazi (reproduction).Sasa ukifungisha ndoa kwa watu ambao unajua kabisa hawana chance yoyote (not a chance in a million) ya kuzaa ili iweje? Pili hawa mashoga hawawezi kuzaaa wanategemea nani awazalie watoto wa kuoana? Gayism is not a self sustaining institution. It can only survive on predatory modus operandi by pouching from the marriage (man and woman) institution and I do not see how the two can be equal. Hofu yangu ni kwamba ushoga unakua kwa kasi sana hasa huko Ulaya na Marekani na tusipokuwa makini tutaambukizwa tabia hii kwa vile waafrika tunapenda sana mambo ya kuiga. God forbid!
 
Kuna kitu ambacho kwa akili yangu nashindwa kukielewa kabisa. Kusudi kubwa la kufunga ndoa kwa dini yeyote ile ni kuendeleza jamii kwa uzazi (reproduction).Sasa ukifungisha ndoa kwa watu ambao unajua kabisa hawana chance yoyote (not a chance in a million) ya kuzaa ili iweje? Pili hawa mashoga hawawezi kuzaa wanategemea nani awazalie watoto wa kuoana? Gayism is not a self sustaining institution. It can only survive on predatory modus operandi by poaching from the marriage (man and woman) institution and I do not see how the two can be equal. Hofu yangu ni kwamba ushoga unakua kwa kasi sana hasa huko Ulaya na Marekani na tusipokuwa makini tutaambukizwa tabia hii kwa vile waafrika tunapenda sana mambo ya kuiga. God forbid!
 
Hawa ndio Great Thinkers kamanda! Wakishindwa hoja wanaanza kukushambulia personally.
Ohh unatetea mashoga so na wewe ni shoga, ohh unatetea wanawake basi na wewe mwanamke, ohh unatetea watoto na wewe ni mtoto, yaani mambo ya primary school.

Kumbe hii thread iliendelea hivi?

Na ukitetea albino na wewe ni albino
Na ukitetea walemavu na wewe ni mlemavu etc

Mimi nikiwaona barabarani nasikia kinyaa, ila kama uliyosema mwanzo kwamba kila abiria achunge mzigo wake.

Waacheni watoto wa watu, kama watasikia maumivu wataacha ila kwa sisi ambao sio shogas HAYATUHUSU.
 
Kuna kitu ambacho kwa akili yangu nashindwa kukielewa kabisa. Kusudi kubwa la kufunga ndoa kwa dini yeyote ile ni kuendeleza jamii kwa uzazi (reproduction).Sasa ukifungisha ndoa kwa watu ambao unajua kabisa hawana chance yoyote (not a chance in a million) ya kuzaa ili iweje? Pili hawa mashoga hawawezi kuzaa wanategemea nani awazalie watoto wa kuoana?

Na kuna wengine pia wanafunga ndoa mwanamke na mwanaume lakini hawapati watoto, hujawahi sikia hio?
Kama ulaya mwanamke na mwanaume kupata mtoto wanafanya kuamua, wengine wanaoana tu lakini hawataki watoto, hujawahi sikia hio?

Ila wanasayansi sasa wemefanya utafiti kwamba uko uwezekano wa mwanaume na mwanaume kupata mtoto.
Na mwanamke na mwanamke kupata mtoto.
Imepingwa na watu wa deen lakini kadri siku zinavyoendelea naona watu hao hao wa deen pia watawapa green light wanasayansi.
 
sodoma na gomora hiyooooo!!au Noah na safina hiyoooooooo! mimi ntakuwa ndani ya safina wewe je mwenzangu?
 
Ukisoma debate yote humu na ile ya EA Federation utajua kwanini Tanzania ni nchi maskini sana na itaendelea kuwa hivyo na CCM itatawala milele!
 
Ndio maana YESU NDIYE NJIA, KWELI NA UZIMA - wanadamu wamepotoka - umwonapo mtu (human being) wengine ni cover tu ya juu - ndani ni roho chafu ya shetani na ndio inavyojitokeza. POLENI SANA KWA MLIUMIZWA NA UPOTEVU HUU WA NDOA ZA MASHOGA - ndivyo Mungu anavyohuzunika amwangaliapo mwanadamu aliyemuumba kwa WEMA na UZURI - lakini amekubali kujawa na roho ya shetani badala ya ROHO ya Mungu -
Hao wanaotetea ushoga - ni kwamba ni vipofu - wana macho lakini HAWAONI - ni viziwi - wana masikio lakini HAWASIKII - na kwa vile uharibifu umo ndani yao - umauti utawakuta kama walivyo - MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI - hao walioamuwa kuufanya ushoga na kufunga ndoa, na hao wanaowafungisha hizo ndoa na kupitisha hizo sheria - MUNGU ANAWAONA NA ANACHUKIZWA MNO - LAITI WANGELITUBU LA SIVYO JEHANAM INAWASUBIRI PAMOJA NA BABA YAO IBILISI - SHETANI WALIYEKUBALI KUMFUATA
Ni wakati wa KUJIPANGA SAWASAWA - KUWA MTAKATIFU - KWANI MWISHO UMEKARIBIA MNO - unapoyaona hayo na kuyasikia - changamka - ombea familia yako, ombea rafiki zako, ombea ndugu zako, ombea taifa lako

TUKUMBUKE KWAMBA SIKU LIKIJA MAHALI PAKO UNAPOABUDU, KUJETENGE MAHALI HAPO - tafuta mahali pengine ukamwabudu Mungu wako katika ROHO na KWELI - ila kwa uamuzi wa kundi fulani la watu - USIBABAIKE - KUWA NA MSIMAMO - MUNGU ANA NGUVU TENA NI MWAMINIFU - KARIPIA, KEMEA NA ONYA DHAMBI KWA NGUVU ZOTE - BWANA YU KARIBU - amen!!!
 
tunaiga mengi kutoka nje ya bara letu. naomba Mungu tusije tukaiga na balaa hili . Tutaangamia.
 
Hao wanaotetea ushoga - ni kwamba ni vipofu - wana macho lakini HAWAONI - ni viziwi - wana masikio lakini HAWASIKII - na kwa vile uharibifu umo ndani yao - umauti utawakuta kama walivyo - MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI

Hio bold itawachanganya watu wengine.
Na wanaoabudu hawapatwi na umauti? Intresting!!
 
Ukisoma debate yote humu na ile ya EA Federation utajua kwanini Tanzania ni nchi maskini sana na itaendelea kuwa hivyo na CCM itatawala milele!


Kama mnadai haki zenu na mzidai tu lakini Tanzania itaendeleaje kama mashoga wakikubaliwa?

Au unataka kutangaza utalii Zanzibar mashoga wengi waje holiday kule na nchi ipate maendeleo?
 
A new homophobic law in Uganda

Uganda's draconian anti-homosexuality bill has the potential to destroy thousands of lives. The church must speak upEvery day millions of Christians pray to be spared from being put to the test. For some in Uganda, where an anti-homosexuality bill (pdf) is being put to parliament, this prayer may be especially deeply felt. This extremely unpleasant proposed law targets not only lesbian, gay, bisexual and transgendered (LGBT) people but also human rights and Aids prevention activists and people in positions of trust. While some in the church are backing the bill, other Christians face a challenge to the principles at the heart of their faith.

Seventeen local and international human rights groups, including Sexual Minorities Uganda, have condemned the move. "This draft bill is clearly an attempt to divide and weaken civil society by striking at one of its most marginalised groups. The government may be starting here, but who will be next?" said Scott Long of Human Rights Watch. Gay sex is already illegal in Uganda, and can result in long prison sentences. The bill broadens the definition to include any form of sexual relations between people of the same sex, which could result in life imprisonment, and threatens those guilty of "promotion of homosexuality" with up to seven years in prison, an attack on freedom of expression which would also damage Aids prevention efforts.

A new offence of "aggravated homosexuality" would carry the death penalty, covering sex with someone under 18 or who is disabled or in the case of a "serial offender". This also undermines the right of disabled adults capable of informed consent to enjoy intimate relationships, insultingly reducing them to the status of "victims". Any "person in authority" aware of an offence under the new law who did not report it to the authorities could face three years' imprisonment, including anyone who exercises "religious, political, economic or social authority". So a pastor who found out that someone in his congregation or community was gay or lesbian would be required to betray that person to possible imprisonment or death, or risk his own freedom. The bill would not only destroy LGBT people but also undermine others' integrity and humanity.

The law would apply not only within Uganda but also to Ugandans abroad. Some commentators believe it is being used to divert attention from ongoing social problems and intensify repression in the run-up to the next elections.

The bill is a particular challenge for Christians because clergy have helped to whip up fear and hatred and undermine respect for human rights. Nicodemus Okille, Dean of the Province of Uganda, in his Christmas sermon in 2007 as Bishop of Bukedi, reportedly condemned advocates of gay rights as having no place in the kingdom of God. "The team of homosexuals is very rich," claimed Archbishop Henry Orombi in 2008. "They have money and will do whatever it takes to make sure that this vice penetrates Africa. We have to stand out and say no to them." However Anglican Bishop Stanley Ntagali of Masindi-Kitara diocese has recently spoken out against the death penalty for homosexuality, while supporting imprisonment.

The bill also poses a challenge to those throughout the world with economic, social or political links to Uganda. This includes Christian leaders overseas who have helped to give credibility to homophobic Ugandan bishops and pastors while supposedly proclaiming a message of love and justice for all. Some US evangelists have endorsed Pastor Martin Ssempa, an anti-LGBT crusader. Anglican leaders such as the Archbishop of Canterbury have avoided challenging their Ugandan associates' complicity in anti-LGBT abuses while soundly condemning Anglican provinces moving towards equality for all.

Sixty years ago, the Anglican Communion was at the forefront of the drive for universal human rights. Though commitment to rights for all, including LGBT people, has been repeatedly endorsed at international gatherings, and many churches are passionately committed, it now tends to be referred to in vague terms by top leaders. But they will have to decide how to respond to this legislation, especially since their own Ugandan-born clergy and parishioners will be affected. What they do, or fail to do, will affect their ability to witness to a God who does not abandon the abused and exploited. These are testing times.

.....huu uonezi kwa watu fulani katika society ni wa kupingwa na kulaaniwa kwa nguvu zote!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom