Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

Status
Not open for further replies.
hivi kuna watu huwa wanaenda kanisani kudhihaki au inakuwaje

na wanajifanya wanatumia maandiko ya biblia

Huko katika biblia hakuna mambo ya kijinga kama haya

Yesu rudi upesi uokoe watu wako tunaangamia
Hivi hili kanisa lipo Bongo?

Au ndio ni lile analoabudu MaxShimbe.

Tumsubiri MaxSIMBE AJIBU KWA MAELEZO YA KINA.
 
Mwandishi wa Freemedia amekosea sana.
Kanisa lililobariki ndoa ya jinsia moja kanisani ni kanisa la Kiswidi (Swedish Church) ambalo misingi ya imani yake ni ya kilutheri.
Kusema .".....KANISA la Kiinjili la Kilutheri lenye waumini wengi zaidi nchini hapa, limekubali kubariki ndoa za watu wa jinsia moja.........." ni makosa na uongo. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ELCT wanashikiana na Kanisa la Sweden lakini halijapitisha maamuzi kama yaliyopitishwa a Kanisa la Sweden na sidhani kama hata mjadala wa aina hiyo upo mezani.
 
Yes it is nonsense, Yes it is disgusting lakini sio kazi yetu kuwafuta kwenye uso wa dunia. There is ni justification in killing them.

Mungu aliewaumba ndie atakaeamua kama ni kuwafuta au la.

Shetani mwenyewe hajafutwa katika uso wa dunia sembuse hawa binadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu
.

Ila nategemea Kanisa la Lutheran hapa Tanzania kutoa tamko kuhusiana na hili na ku clarify msimamo wao, na ikiwezekana kuvunja uhusiano na hilo kanisa la Sweden.


Thubutu! kuvunja uhusiano? halafu hiyo mikontena ya mitumba na misaada ya kujenga makanisa itatotaka wapi?

Baniani mbaya. kiatu chake dawa!
 
...i think debating mashoga hapa JF is a waste of time ni kama mtu mweusi kwenda kuoa Southern states ,amini mnachoamini ila the good thing wanaoweka sheria sio nyie ni watu kama kina Obama ambao wako in favor na wanaelewa umuhimu wa kuweka sheria za kulinda watu wote katika society!

Hawa ndio Great Thinkers kamanda! Wakishindwa hoja wanaanza kukushambulia personally.
Ohh unatetea mashoga so na wewe ni shoga, ohh unatetea wanawake basi na wewe mwanamke, ohh unatetea watoto na wewe ni mtoto, yaani mambo ya primary school.
 
Hawa ndio Great Thinkers kamanda! Wakishindwa hoja wanaanza kukushambulia personally.
Ohh unatetea mashoga so na wewe ni shoga, ohh unatetea wanawake basi na wewe mwanamke, ohh unatetea watoto na wewe ni mtoto, yaani mambo ya primary school.
mtoto wako wa kiume mwenye midevu akiwa bwabwa utafrahia?acha ujinga wewe
 
Thubutu! kuvunja uhusiano? halafu hiyo mikontena ya mitumba na misaada ya kujenga makanisa itatotaka wapi?

Baniani mbaya. kiatu chake dawa!

Na aliyekuhabarisha nani, kuwa makanisa yanajengwa na misaada toka Sweden?
 
mtoto wako wa kiume mwenye midevu akiwa bwabwa utafrahia?acha ujinga wewe

Hao wanaooana ni watoto wako? Wewe inakuhusu nini? Point ni kwamba its nobodies business watu wazima wanachotaka kufanya na miili yao.
 
wewe waa jabu kweli
slavery haina usawa, hata mungu hapendi slavery ila nitaftie kitabu gani cha dini yoyote duniani kinakubali mashoga
hao mashoga wanavkiuka maumbile ya mungu, mungu kakuumba na viungo uvitumie kama unatumia kinyume mmh...ndo maana kuna adam na hawa na si adam na abubakar.
sasa we emagine dume linaowa dume lenzake si ushenzi mkubwa wa kutupwa
wewe mwanao akiwa shoga utafurahia?

Unajua kweli ulisemalo? Niambie katika kitabu gani ambamo hizi dini kuu mbili zimepinga utumwa kwa ujumla? Mbona kote zimejaa hadithi za watumwa na inaonekana sawia tu? Kama kweli Mungu alichukia utumwa na kuwaelekea hivyo watu wake, itakuwaje ilichukua zaidi ya miaka 1800 ya ukristu mpaka wakristu watambue uovu huo? Vile vile kwa waislamu. Itakuwaje utumwa uendelee hadi mwaka 1959 nchini Saudi Arabia ambako dini yenyewe ndiko ilikoanzia? Tusitake kubadilisha historia ati kwa vile leo tunakubaliwa kuwa wamoja wao. Si zamani sana wenzetu walikuwa wakituita nyani, na kuona sawa kutunyonga kwa kumbania jicho au kumpigia mluzi binti yao. Matusi hayo hayo tunayowatukana mashoga na sisi tulitukanwa. Hivi kwa nini kama kweli tunaamini mwenyezi Mungu hawapendi hatumuachii yeye awahukumu watakapofika mbele yake badala ya kujifanya sisi tuna simu yake ya mkononi? Tusisahau kuwa alitukanya kuwa ajidhanie wa kwanza ndie atakuwa wa mwisho na wa mwisho wa kwanza.

Amandla..........
 
Hao wanaooana ni watoto wako? Wewe inakuhusu nini? Point ni kwamba its nobodies business watu wazima wanachotaka kufanya na miili yao.
Jibu swali acha kukimbia, me mtoto wangu akiwa bwabwa namfukuza nyumbani kwangu na namkana mara moja

wewe mtoto wako akiwa Bwabwa utafrahi?

sikilizeni nyie mnaotetea ushoga..mungu kakuumba na sehem ya kiume ili uitumie ipasavyo, na si vinginevyo.acheni ujinga na calture ya wazungu hiyo...sio maadili ya Africa.
n
 
Jibu swali acha kukimbia, me mtoto wangu akiwa bwabwa namfukuza nyumbani kwangu na namkana mara moja

wewe mtoto wako akiwa Bwabwa utafrahi?

sikilizeni nyie mnaotetea ushoga..mungu kakuumba na sehem ya kiume ili uitumie ipasavyo, na si vinginevyo.acheni ujinga na calture ya wazungu hiyo...sio maadili ya Africa.
n
wapuuzi tu hawa hata wazungu walianza kuwaendekeza hawa wapuuzi kama hawa..ndio wakafikia walipo sasa..dawa yao ni kuwafuta duniani hawana maana yeyote??
 
Kwa hiyo? Mbona Unguja zinafungwa kila siku? Zikipambawa na ngoma ya sumsumia!

Amandla........

SOMA KWA MAKINI
DUNIA IMEKWISHA

uwazi



Bwana harusi huyo ambaye ni mwenyeji wa Zanzibar imeelezwa kuwa ni mmoja kati ya vigogo wa meli kubwa zinazosafirisha shehena ya mizigo mbalimbali kutoka Zanzibar kwenda nchi za Asia hususan Dubai na alichukua likizo kwa ajili ya shughuli za harusi hiyo.
Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya ukumbi huo wa harusi, kimebaini kuwa vijana hao wa kiume wamekuwa na uhusiano wa kimapenzi wa muda mrefu na katika siku za karibuni Anti Chollo alivalishwa pete ya uchumba na ‘mume’ wake huyo.
Harusi hiyo iliyofana ilifanyika kwa siri kubwa na ilihudhuriwa na watu wachache ambao kwa mujibu wa mkanda wa video (nakala tunayo),wengi wao kimaumbile walionekana ni mashoga na kadi za mwaliko wa sherehe hiyo zilikuwa zimeandikwa Birthday Party (Sherehe ya Kuzaliwa) ili kufanya watu wasielewe kilichokuwa kikiendelea.
Huku ukumbi huo ukiwa umepambwa vilivyo, walionekana maharusi hao wakilishana keki na kuvishana pete ya ndoa (kama inavyoonekana ukurasa wa mbele wa gazeti), huku baadhi ya wageni waalikwa wakishangilia kwa furaha kubwa bila dalili zozote za wasiwasi.

Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa waalikwa zinasema kuwa, sherehe hiyo ambayo iliambatana na burudani kali za muziki wa taarabu ambao ni maarufu visiwani humo huku zawadi zikitolewa kwa wingi, ilifadhiliwa kwa kiwango kikubwa na mmoja wa vigogo serikalini (jina limehifadhiwa) anayefanya kazi kwenye mamlaka nyeti kwa maendeleo ya nchi ambaye anatajwa kuwa mdau wa uchafu huo.
Chanzo hicho kimeanika kuwa, kigogo huyo hakuishia kufadhili harusi hiyo tu bali hata fungate la wanandoa hao katika moja ya Hotel maarufu iliyoko eneo la Nungwi mjini humo.

Uchunguzi zaidi uliofanya na gazeti hili umebaini kuwa kiongozi huyo wa serikali kwa muda mrefu amekuwa akikanywa mara kwa mara juu uhusikaji wake na mambo hayo ya kishoga lakini hali inaonekana kuwa tofauti kwani anaonekana kuzama katika uvunjifu huo wa maadili.

Imedaiwa kuwa, Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika moja ya vikao vyake liliwahi kumkea kiongozi huyo ambaye naye anatajwa kuwaweka kinyumba vijana wawili wa kiume kwa muda mrefu sasa lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake.

Gazeti hili lilimtafuta Kamanda wa Jeshi la Polisi, Unguja ili aeleze hatua zilizochukuliwa dhidi ya tukio hili la uvunjifu wa maadili na sheria za nchi bila mafanikio yoyote, hata hivyo juhudi zinaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na walengwa zaidi wa tukio hili.
Katika sherehe hiyo ilielezwa kuwa Zanzibar kwa sasa ina zaidi ya mashoga wapatao 400 ambao wana jumuiya yao.
 
Kila siku nikisema hivyo vitabu mnavyoviita vya mungu ni vyakutungwa tu mnanibisha.
Hata hio Sodom & Gomora naona nazo nizakutungwa tu.
Kama zilikuwepo na deen wakati huo ilipinga kwanini leo masheikh na mapadre wabanjuaje?

Ndugu Darwin mbona wewe Unaropoka kama uliye lewa pombe?Kuna Sehemu gani Katika biblia au Qur'ani inayo Ruhusu Mwanamme amuowe Mwanamme Mwenzake? hebu Tafadhali nionyeshe ndugu Darwin Dini watu wameiweka pembeni wamejitungia Sheria zao wenyewe hao unaowaita Mashekhe na Mapadri. Dini zipo pale pale ila Binadamu ndio anavyotaka kujiamulia yeye mwenyewe Uamuzi wake Kumufuata shetani Au kufuata Mungu.Usimlalamikie Mwenyeezi Mungu Subhana wa taala ametuteremshia Mitume watufundishe njia ya Kumuabudu Mwenyeezi Mungu Subhana ukifuata njia ya Matamanio ya shetani basi huyo shetani atakuongoza Motoni shauri yako ndugu Darwin Kila Mtu atauchukuwa Mzigo wake Mwenyewe siku hiyo inakuja.
 
Kuna Sehemu gani Katika biblia au Qur'ani inayo Ruhusu Mwanamme amuowe Mwanamme Mwenzake? .

From the Bible Read Leviticus Chapter 20 Verse 13 From Old Testament
´If a man also lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them´

Also Read Romans Chapter 1 Verses 21-26
21For although they knew God, they neither glorified him as God nor gave thanks to him, but their thinking became futile and their foolish hearts were darkened. 22Although they claimed to be wise, they became fools 23and exchanged the glory of the immortal God for images made to look like mortal man and birds and animals and reptiles. 24Therefore God gave them over in the sinful desires of their hearts to sexual impurity for the degrading of their bodies with one another. 25They exchanged the truth of God for a lie, and worshiped and served created things rather than the Creator-who is forever praised. Amen.
26Because of this, God gave them over to shameful lusts. Even their women exchanged natural relations for unnatural ones. 27In the same way the men also abandoned natural relations with women and were inflamed with lust for one another. Men committed indecent acts with other men, and received in themselves the due penalty for their perversion.


Hawa wanaoruhusu hizi ndoa sijui wanaposoma Biblia huwa wanaipindua upside down
 
From the Bible Read Leviticus Chapter 20 Verse 13 From Old Testament
´If a man also lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them´

Also Read Romans Chapter 1 Verses 21-26
21For although they knew God, they neither glorified him as God nor gave thanks to him, but their thinking became futile and their foolish hearts were darkened. 22Although they claimed to be wise, they became fools 23and exchanged the glory of the immortal God for images made to look like mortal man and birds and animals and reptiles. 24Therefore God gave them over in the sinful desires of their hearts to sexual impurity for the degrading of their bodies with one another. 25They exchanged the truth of God for a lie, and worshiped and served created things rather than the Creator—who is forever praised. Amen.
26Because of this, God gave them over to shameful lusts. Even their women exchanged natural relations for unnatural ones. 27In the same way the men also abandoned natural relations with women and were inflamed with lust for one another. Men committed indecent acts with other men, and received in themselves the due penalty for their perversion.


Hawa wanaoruhusu hizi ndoa sijui wanaposoma Biblia huwa wanaipindua upside down
kwa kifupi hamna kitabu cha dini yoyote na wala utamaduni wa Africa wowote unao ruhusu ushoga.hawa wa TZ wanaojifanya wanautetea me nawashangaa, afu UKIWAULIZA JE MWANAO AKIWA SHOGA UTAPENDA? yanabaki kimya na nafsi zinawasuta.
 
http://www.skysports.com/story/0,19528,11095_5650869,00.html


Liverpool manager Rafa Benitez has defended his transfer policy - claiming that when he spends big, he gets it right.
The Spaniard has been criticised for bringing players to Anfield who have gone on to flop, while his failure to produce significant homegrown talent has also been scrutinised.
Last season's £20million summer signing of Robbie Keane
spacer.gif
from Tottenham is often highlighted as Benitez's
spacer.gif
major mistake, with the striker quickly returning to Spurs in the winter.
But the Reds boss insists that it is only when he spends a small amount of money that he takes risks.
Benitez said in the News of the World: "Players who cost more than £7million, we have 80 per cent success and below this figure we have to take some gambles.
"But if we are spending some money, 80 per cent of signings are good.
"And if we make a mistake, we try to find solutions as quickly as possible because we can't sign four wingers and spend £15m on each winger and still they don't play. Other teams can do this but we can't.
Massive money

"Take Robbie Keane. For different reasons he didn't play at the level that we know he can play but because he's a good player, we brought in a massive amount of money."
The £20m purchase of Alberto Aquilani
spacer.gif
has also come under the spotlight as the Italy international has yet to play since leaving Roma in August after ankle surgery.
Benitez, though, claims he was given incorrect medical information, adding: "When we were signing him, one of the best doctors in the world said that by the end of August he could be available.
"But we were not signing a player for four or five weeks but for four or five years."
Former Liverpool player John Arne Riise
spacer.gif
expects Aquilani to prove a success at Anfield, having played with the midfielder at Roma.
"Alberto is the perfect replacement for Alonso," Riise said in the Sunday Mirror.
"When he is fit and ready to play he will show what he is capable of, I am sure. He is a fantastic player on the ball, very technical."
 
My Comrades.
What happened to Sodom and Gomorrah will befall all those who commit such an abomination.
The two cities were set ablaze by God Himself because men develope interest in their fellow men to the extent of wnating to sodomise God's Angels. They were stiken blind and were consumed by brimstone fire. Wao wafirane tu lakini cha moto watakiona.

Hao wazungu ni wapagani first class. Walituletea dini lakini biblia iliposema Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza haikukosea. Mambo yenyewe ndo haya. Wanaingiza uchafu mpaka ndani ya hekalu la Mungu kwa kisingizio cha demokrasi ambayo mimi naiita DEMON CRAZYness, These people are possessed by demons!!!
Kesa
 
Jibu swali acha kukimbia, me mtoto wangu akiwa bwabwa namfukuza nyumbani kwangu na namkana mara moja

wewe mtoto wako akiwa Bwabwa utafrahi?

sikilizeni nyie mnaotetea ushoga..mungu kakuumba na sehem ya kiume ili uitumie ipasavyo, na si vinginevyo.acheni ujinga na calture ya wazungu hiyo...sio maadili ya Africa.
n
Hao si watoto waka baba, huna haki ya kuwaambia chochote, mind your own business!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom