Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 52,126
- 23,658
Kauli ya mkuu wa mkoa wa zamani stephen mashishanga kuropoka ccm wamfukuze uanachama mh sabodo umethibitisha mpasuko ndan ya chama hicho..badala ya kuungwa mkono na wabunge wengi wamemgeuka na kumwambia yeye anatakiwa aondoke kwanza na kumwacha sabodo na ccm yetu;;
wa kwanza kujitokez an mh beatrice shelukindo alisema aoni umuhimu wa kumfukuza huyu kijukuu cha mtume kisa kutoa misaada upinzani ama kuchimba visima...akaenda zaidi akasema huyo mashishanga zaidi ya kujiongezea mangombe akiwa mkuu wa mkoa amesaidia nini wananchi zaidi ya wananchi kufurahia siku alipoondolewa
nae mwenyekiti wa chadema mh freeman mbowe alikosoa kauli ya mashishanga na kusema kweli mzee anazeeka mapema
akasema kauli yake inashangaza kwani mwanae yuko ni mbunge wa chadema vitimaalum na kusema wao wako tayari kwa maikono miwili kumpokea sabodo tena kwa matarumbeta ,kama kwelimzazi ataki upinzani basi aje kuchukua na mwanae huku chadema huku akicheka ...
Kwa niaba ya watanzania naomba mumsamehe mzee huyu maana si tatizolake ...........,anazeeka mapema sana
kwa habari zaidi nunu dira ya mtanzania