Mashine za kutengeneza mkaa (briquette) hapa tanzania zinapatikana wapi? bei gani?

Mgoda simtwange

Senior Member
Sep 7, 2012
168
64
Kwa wanaojua mahali ambako wanatengeneza au kuuza mashine za kutengeneza mkaa utokanao na mabaki ya vitu mbalimbali kama karatasi nk (briquettes) naomba wanijulishe tafadhali. Nitafurahi kama mtaniambia ni bei ya hizo mashine. natanguliza shukrani
 
Wabongo bwana!
 
Jaribu kuwatembelea ARTI Energy. Ofisi zao zipo Mbezi tanki bovu njia ya kuelekea Goba.

Office located on Kilimani Road (on way to St. Mary’s Junior School), Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania.Email : info@arti-africa.orgarti.tanzania@gmail.com
Telephone:
+255 (0)786 427 949
+255 (0) 715 235 126
[h=3]How reach Us[/h] The head office of ARTI Energy is located in Tanzania capital city “Dar es salaam”, Kinondoni District.The office is located two hundred metres (200M) off Bagamoyo Road along Kilimani road which is located approximately 1.5 kilometers after the BP petrol station at Tanki Bovu and 300m from Shamo Park House when coming from Mwenge.On the left hand side of Bagamoyo road you see the sign for “ARTI Tanzania” where you turn left. You follow the road approximately 300 meters and you will find the ARTI office. If you are travelling by Dala Dala coming from Mwenge bus stand you drop at the “Supa” but stand. It is approximately a 5 minute walk from the main road.
 
Wabongo bwana!

mkuu usishangae. kwani hujui kuwa mjini kuna business kama hizi na zinatoa ajira kwa vijana?
Duniani kote shughuli za kutengeneza mkaa kutokana na takataka ndio mpango mzima. kenya,uganda, hata baadhi ya mikoa ya kaskazini mwa tz hii shughuli inafanyika and people making money.
 
mkuu si useme ulipo niwe nakumwagia mkaa wa asili magunia 380 kila baada ya miez 3, just tufunge contract upige ela.
 
mkuu usishangae. kwani hujui kuwa mjini kuna business kama hizi na zinatoa ajira kwa vijana?
Duniani kote shughuli za kutengeneza mkaa kutokana na takataka ndio mpango mzima. kenya,uganda, hata baadhi ya mikoa ya kaskazini mwa tz hii shughuli inafanyika and people making money.

kaka nilikua najishtukia sasa nimeamua rasmi. asante kwa kunipa moyo.
 
Back
Top Bottom