tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 62
Fafanua vzuri,unagomewa kwakua wameona hyo mashine au vp?
Mkuu mbona tunaigana avatar...
Fafanua vzuri,unagomewa kwakua wameona hyo mashine au vp?
ikateeWanajamii me ni kijana wa miaka 29, tatizo langu ni kuwa na mashine ambayo kusema kweli ni kubwa...kila ninapokutana na mwanamke huwa naishia tu kugomewa. yaani mpaka nimeamua tu kuwa mtu wa sabuni, japo kitendo hiki sikipendi inanibidi nifanye tu hivyo ili kupunguza moto nilio nao. Tafadhali kama kuna mwenye kujua njia au jinsi ya kufanya ili nisikimbiwe niwapo faragha anipe ushauri.
Kama uko Dar na unasema kweli ni PM nikupeleke sehemu utapata wasaizi yako.Wanajamii me ni kijana wa miaka 29, tatizo langu ni kuwa na mashine ambayo kusema kweli ni kubwa...kila ninapokutana na mwanamke huwa naishia tu kugomewa. yaani mpaka nimeamua tu kuwa mtu wa sabuni, japo kitendo hiki sikipendi inanibidi nifanye tu hivyo ili kupunguza moto nilio nao. Tafadhali kama kuna mwenye kujua njia au jinsi ya kufanya ili nisikimbiwe niwapo faragha anipe ushauri.