Wanajamii me ni kijana wa miaka 29, tatizo langu ni kuwa na mashine ambayo kusema kweli ni kubwa...kila ninapokutana na mwanamke huwa naishia tu kugomewa. yaani mpaka nimeamua tu kuwa mtu wa sabuni, japo kitendo hiki sikipendi inanibidi nifanye tu hivyo ili kupunguza moto nilio nao. Tafadhali kama kuna mwenye kujua njia au jinsi ya kufanya ili nisikimbiwe niwapo faragha anipe ushauri.