Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

Lawkeys

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
1,118
287
Wakuu,

Ninatafuta mashine ya kutengenezea juice ya miwa. Kama unafahamu inapatikana wapi nakuomba unielekeze. Preferably ndani ya mipaka ya Dar es Salaam.

Natanguliza shukrani.
 
Nenda SIDO mkuu! Jitahidi kuwa msafi kwenye biashara yako, kitu kinanifanya nisiwe na hamu na juice ya miwa ni uchafu, unakuta nzi na nyuki kibao kwenye mazingira ya utengenezaji wa juice.

Wakuu-

mimi nitamshauri pia aende SIDO. kuhusu usafi, ni kweli inabidi alizingatie, na mojawapo ya njia ya kukabiliana na inzi ni kutengeneza juisi hiyo usiku kama Forodhani Zanzibar
 
Wakuu-

Ninatafuta mashine ya kutengenezea juice ya miwa. Kama unafahamu inapatikana wapi nakuomba unielekeze. Preferably ndani ya mipaka ya Dar es Salaam.

Natanguliza shukrani.

Mpigie huyu jamaa pale SIDO atakusaidia, 0715986687 - Kalumna
 
mimi nitamshauri pia aende SIDO. kuhusu usafi, ni kweli inabidi alizingatie, na mojawapo ya njia ya kukabiliana na inzi ni kutengeneza juisi hiyo usiku kama Forodhani Zanzibar
Afikirie pia teknolojia nzuri na rahisi ya kusindika... vinginevyo juisi itageuka Kiroba Orijino...!!!
 
Du hapo umenicha kidogo,ina maana kiloba original kinatengezwa kwa miwa?

Mkuu miwa au hata juice nyingine nyingi zinaweza zikawa alcohol baada ya fermentation. (kuspeed process watu huwa wanaweka yeast kwenye vinywaji ili kuharakisha kuibadilisha kuwa pombe..) Ingawa hata bila kuweka yeast ikikaa kwa muda mrefu process ya fermentation itatokea na juice yako itakuwa alcohol.. (hivyo basi inabidi kuhifadhi ili kuzuia fermentation na ibaki kuwa juice)
 
Asanteni kwa taarifa. Ninayafanyia kazi maoni yenu. Nawasilisha
 
Afikirie pia teknolojia nzuri na rahisi ya kusindika... vinginevyo juisi itageuka Kiroba Orijino...!!!

Mkuu kama hakuna nyenzo za usindikaji si anatengeneza kiasi kulingana na soko/mauzo anayoyategemea kwa siku.Afterall ukisindika ule uhalisia wa juice ya miwa utapotea inaweza kuwa sawa na ile sukari iliyotiwa food colors kama mdau mmmoja alivyosema hapo juu.
 
tuna omba mtujuze jamani! hata mimi ni mmoja wa mahitaji wa hii kitu aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom