Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

f0ed0675ad88ce16745e64f8cfb821ca.jpg
made in india 0654567777
 
Wadau kwa wastani hii mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa Sh ngapi?
Inategemea mkuu, za mkono kuanzia laki mbili mpaka 5, za umeme kwa upande wa sido ni tsh 1m mpaka 1.5,zinazotoka nje ya nchi zinagharimu kuanzia 1.6 mpaka milion 8. Kazi kwako mkuu
 
Mkuu asante kwa Taarifa. Unaulizia kwa Dar naweza kupata Duka gani?
Au mpaka za kuagizia?
Nenda pale mobile plaza,jengo linalofuatia wanazo za kichina au hapa shekilango kwenye hayo maduka ya NSSf ingia ndani mle kuna kampuni inauza mashine za kila aina ikiwemo za miwa
 
Back
Top Bottom