Mashine bora za efd za bolsto solutions ltd moshi/arusha

miettu

Member
Sep 12, 2012
25
0
Kwa wanaotaka mashine, zipo bei ni 800,000/= (bei standard ya TRA ambayo utakuja kurudishiwa) pia wateja wetu wanaweza pata mkopo toka equity bank wa kununulia mashine, harakisha kabla foleni hazijaanza mwezi ujao.

Pia kwa wamikoani, tunaweza wasiliana nikawaelekeza nani wa kumuona kwenye branch zetu huko.

Kwa wanaotaka commissions, ni sh. 30,000/= kwa mashine utakayoo uza.. kumbuka kuanzania tarehe 1/9/2013 kila mfanya biashara anayeuza kuanzania 40,000/= kwa siku au mil. 14 kwa mwaka atatakiwa kuwa na mashine.

0758-717754 Chacha
 
Back
Top Bottom