Mashine bora za efd za bolsto zinapatikana moshi na arusha

miettu

Member
Sep 12, 2012
25
0
Sisi ni approved agents wa BOSLSTO SOLUTIONS wakala aliyepitishwa na TRA na ni kampuni inayoongoza africa kwa kusambaza mashine za EFD cash registers kwa Moshi na Arusha pia. Technician aliyekua approved na TRA yupo kurepair mashine hizo, zina warranty ya muda mrefu kuliko makampuni mengine na bei yetu ni ya kumjali mteja wa kitanzania. Wahi sasa.....


Kwa mawasiliano zaidi piga 0758-717754 au fika ofisini kwetu kwa sasa kwenye ofisi za KHAS Company Ltd
 
Back
Top Bottom