figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,493
- 54,900
Kama vipi muachie Madame B mkuu. haya maji marefu hayapimwi kwa kijiti. miadah mapenzi kizungumkuti
Last edited by a moderator:
Kama vipi muachie Madame B mkuu. haya maji marefu hayapimwi kwa kijiti. miadah mapenzi kizungumkuti
hapo kwenye red inaonekana Mungu kakuongoza vizuri. ubarikiwe sana . mia
hapo kwenye nyekundu nakushukuru sana kutaja hilo jina. miaMi napendekeza majina haya:
1,Madame B
2,King'asti
3,Preta
4,Kongosho
5,....nitamleta baadae nimemsahau jina ngoja aje achangie nimkumbuke.
asante sana mkuu. mia
Kweli inadunda na ni noumer ile kinoumer bhana! She's going to win, take my word!
Yaani sijaona lolote zaidi ya kuongezeka Hadi nashangaa.
nashangaa anaogopa nini kutoa matokeo. Mshindi anajulikana kama vipi ntaandamana. mia
.....wa ukwenheeeee!!!
Leta mambo.
Nakupa kura yangu.
Ok, pole sana mkuu. but kama vipi jiondoe ili umalize tatizo ulonalo coz haya mashindano yatakupa presha bure. unaonaje ukigombee mwezi ujao?. miaananifariji kwa maswaibu nilo nayo
Ok, pole sana mkuu. but kama vipi jiondoe ili umalize tatizo ulonalo coz haya mashindano yatakupa presha bure. unaonaje ukigombee mwezi ujao?. mia