Mashindano ya Miss chitchat yamerudi tena.pendekeza majina 5

Nilipe nachokudai ushinde,vinginevyo nishafikisha Ids saba sasa hivi bado tatu,
ukiongezea na zile nyingine nne nilizonazo Arabela lazima ashinde
Hivi mwisho wa kupiga kura ni lini Ruhazwe JR

kwa sasa tunapendekeza majina,badae tutawakusanya washirik ktk makunda mawili,ampapo utatakiwa kuchagua mtu mmo toka kila kundi,baada ya hapo tutatafuta kwa kupiga kura kumpata mmoja ambaye ndio itakuwa miss wetu.hivyo mchucho wa magroup ni nusu fainali na mchucho wa wawili ni fainal,hvyo chakato bado mpaka trh 30
 
Last edited by a moderator:

hadi sasa naona kundi moja la watu watatu wanao ongozwa na Madame B. Wengine wamejitoa akiwemo Remmy, CUTE na rafikie Paka Mweusi. mia
 
Last edited by a moderator:
kwa sasa tunapendekeza majina,badae tutawakusanya washirik ktk makunda mawili,ampapo utatakiwa kuchagua mtu mmo toka kila kundi,baada ya hapo tutatafuta kwa kupiga kura kumpata mmoja ambaye ndio itakuwa miss wetu.hivyo mchucho wa magroup ni nusu fainali na mchucho wa wawili ni fainal,hvyo chakato bado mpaka trh 30

Hakikisha Arabela anaingia fainali vinginevyo patakua hapakaliki hapa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom