Masheikh wamuonya Kubenea na MwanaHalisi

Status
Not open for further replies.
Chonde chonde masheikh,simamieni dini na siyo siasa kwani hamuiwezi. Kwani huyu ndugu yetu Kubenea siyo Muislam?
 
Kwa style hii ya waislamu kutaka kufanya watakavyo kwa kisingizio cha dini haitawezekana.......dc lazima afuate sheria za nchio na sheria za uchaguzi ambazo yeye kwa makusudi na kwa kukusudia amezikiuka. Ni ajabu pale waislamu wanaendelea kuwahamasisha wahalifu (wa mali-kweney mabenki na wale wa sheria -km Fatuma) kutumia mavazi yanayoitwa ya kiislamu kuhalalisha uhalifu wao........kwa taarifa yenu kama huo ndiyo uislamu basi AKIKAMATWA USTADH NA MTU MIDEVU YAKE ANAIBA NA WANANCHI WAKIMKAMATA NA KUMNYOA WAISLAMU WATASEMA NDEVU NI VAZI LA KIISLAMU...
MASHEIKH ACHENI KUENEZXA UDINI KWA MASLAHI YA MATUMBO YENU -HASA POSHO MNAZOPATA KUTOKA CCM KILA BAADA YA KUTOA MATAMKO TAFADHARI
In God we trust.
 
Kwa kweli awa Mashehe hata mimi siwaelewi elewi,hata kama uwa anashiriki usafi wa msikiti ukweli unabaki palepale kuwa mikono hiyo hiyo inayofagia maeneo ya msikiti ndiyo inayofanyia usafi mabanda ya nguruwe pindi akiwa likizo Dar.
 
Kwa nini huyo kiroboto asije mwenyewe kukanusha au kukubali juu ya iman yake. Kwani amekuwa popo yeye.! Na hao masheikh kwa nini wausemee moyo wa Fatuma Kimario.?

Hapo ndio utagundua kwamba hawa jamaa wanatumiwa vibaya na CCM,kwani huyo CD ni bubu hawezi kuongea?tunamtaka victim mwenyewe aje akanushe kwenye vyombo vya habari,atwangwe na maswali ili tuone kama ameonewa,HATUTAKI KUSIKIA MATAMKO YA WATU FULANI WENYE MASLAHI YA MATUMBO YAO YENYE KWASHAKOO.
 
Ccm wamefanikiwa sana kuununua uislamu.................kweli nimeamni wajinga ndi waliwao
 
Suala la Kimario Fatuma halina mashiko na lipo kisiasa zaidi hivyo BAKWATA kuliingilia hili ni kujichafua! Mbona wanashindwa jambo dogo sana la kuandama kwa mwezi na hawalitolei matamko kama la DC, njaa bana ni kitu mbaya sana.
 
Kweli njaa itatuua watz na ccm inatumia sana nafasi ya njaa za waislamu kuliangamiza taifa..............."wateule tuwe macho"


suala la kimario fatuma halina mashiko na lipo kisiasa zaidi hivyo bakwata kuliingilia hili ni kujichafua! Mbona wanashindwa jambo dogo sana la kuandama kwa mwezi na hawalitolei matamko kama la dc, njaa bana ni kitu mbaya sana.
 
Huyu mama ataleta matatizo atakapofariki kwamba azikwe kwa taratibu za dini ipi. Inawezekana anamdanganya mume wake kuwa amebadili dini kuwa mkristo wakati akiwa peke yake anaendelea na uislam. Au hajui amwabudu Mungu wa dini ipi.
 
huyu mama ataleta matatizo atakapofariki kwamba azikwe kwa taratibu za dini ipi. Inawezekana anamdanganya mume wake kuwa amebadili dini kuwa mkristo wakati akiwa peke yake anaendelea na uislam. Au hajui amwabudu mungu wa dini ipi.


inaonesha anajeuli ya fedha kumzidi mumewe kwa hiyo mume hana jeuili mbele yake.............si unajua tejna?.....ndiyo maana hata mume wake hajasema chochote kwani inwezekana anaogopa mkong'oto wa fedha....................dunia ina mambo mengi sana
 
mashehe huwa hawaingii kwenye blogs eeh, walitakiwa waanze kuionya JF maana iliandikwa hapa kuhusu DC Kimario kuwa na shamba la manguruwe Tegeta kabla ya jumatano Mwanahalisi kutoka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom