Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,118
- 49,481
Umesahau kama umeacha kutumia dozi kabla ya kupona?
Hivi Mirembe uliruhusiwa kutoka na Dr. wako au ulitoroka?
Hivi Mirembe uliruhusiwa kutoka na Dr. wako au ulitoroka?
Aisee............:juggle:Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na kujikuta navutiwa nacho.
..nina imani nitaweza kulijenga taifa langu kwa umakini zaidi nikiwa kama mwanachama wa CCM .
..kama kuna kiongozi yeyote wa CCM naomba anisaidie namna ya kujiunga na chama na kupata kadi ya uanachama.
Cc Simiyu Yetu FaizaFoxy MSALANI na wanaCCM wote.
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na kujikuta navutiwa nacho.
..nina imani nitaweza kulijenga taifa langu kwa umakini zaidi nikiwa kama mwanachama wa CCM .
..kama kuna kiongozi yeyote wa CCM naomba anisaidie namna ya kujiunga na chama na kupata kadi ya uanachama.
Cc Simiyu Yetu FaizaFoxy MSALANI na wanaCCM wote.
Karibu tujenge nchi yetu mkuu! Kujiunga na chama, nenda ofisi yeyote ya CCM iliyo karibu nawe.
Aisee............:juggle:
Oooh nadhani hapa nitapata mwongozo sahihi zaidi,huku nilipo sijawahi kuona ofisi za CCM.
"There you are mr. MwanaDiwani", kweli mambo yenu huwa ni "practical"Karibu sana kwenye chama kilichothubutu, kikaweza na sasa kinajenga nchi kupitia ilani yake ya uchaguzi 2010.
CCM hatufanyi mambo ya kisiasa theoretically bali tunafanya practically.
Tembelea kwenye shina lolote la wakereketwa, Balozi wa nyumba kumi au ofisi ya CCM tawi/kijiji na huko watakupa maelezo ya taratibu za kuwa mwanachama.
Shukurani zangu zikufikie,nitazitafuta ofisi mpaka nizipate.naipenda sana CCM.
....watanzania tuna matatizo some where....nchi unaona inaenda vzr eehee...! brain is there for brainstomingUnatamani niwaze uwazacho wewe?nipende upendacho wewe?nifanye ufanyacho wewe?
Nipo kwenye nchi ya kidemocrasia yenye mfumo wa vyama vingi,nina uhuru wa chama gani nisimame nacho.