Plot4Sale Mashamba yanauzwa

Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
5,682
8,809
Mashamba yanauzwa, yapo maeneo mawili tofaut

Shamba la kwanza, lipo Mlandizi Makazi mapya, ukubwa wa heka tano, shamba lina miundo mbinu ya maji, kila baada ya mita 50 kuna bomba la maji, chanzo cha maji ni kisima cha kuchibwa kina urefu wa mita 100, Kila heka moja inauzwa kwa shiling million 3.6 (mazungumzo yapo)

- Mashamba yote yako safi, hayana mgogoro wowote, viambatanishi vyote vya umiliki vipo


Shamba la pili lipo Kiluvya kwa komba kijiji cha Tondoron, dakika 10 kutoka Morogoro road , lina ukubwa wa heka 10 na nusu, kila heka moja inauzwa mil 3.2,

- Miundo mbinu ya barabara ipo, maji halina, ila ukichimba chini yapo, umeme upo jirani
(mazungumzo yapo)



Mawasiliano yangu 0622070789
(Whatsap & call)


MLANDIZI
1479292409993.jpg

1479292371670.jpg


KILUVYA
1479292346814.jpg

1479292304164.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom