TANZIA Mashaka Matongo a.k.a. Abiola afariki dunia

Mashaka Matongo (Abiola) makazi yake ilikuwa Yombo kwa Abiola amefariki leo mchana katika hospitali ya Temeke jijini Dar-es-salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Baadhi humu wanamfahamu aliwahi kuigiza kwa muda mfupi katika kikundi cha Kaole mwishoni mwa miaka ya 1990 huku akijishughulisha na biashara ya magazeti pamoja na akina Eric Shigongo mbunge.
Apumzike kwa amani..namkumbuka sana wakati huo mtaa wa Aggrey alipokuja kuwa na bifu kubwa na mshindani wake kwenye biashara ya nagazeti ya udaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom