Mase has become a Pastor....

HUYU,hana lolote,just confused,baada ya Biggie kuuwawa,yeye alihisi he was next on the hit list,vilevile wapambe wakawa wanamwambia Pdiddy anamu exploit,akaamua kuokoka.When the coast had cleared akaamua kurudi kupitia G-unit where he thought he will carry on where he left-it did not work out-now he is back kivingine a typical case of mid life crisis
 
Mshikaji mbona anatapata sana.
Kama ameamua kuwa moto awe moto kama ameamua kuwa baridi basi awe baridi
 
HUYU,hana lolote,just confused,baada ya Biggie kuuwawa,yeye alihisi he was next on the hit list,vilevile wapambe wakawa wanamwambia Pdiddy anamu exploit,akaamua kuokoka.When the coast had cleared akaamua kurudi kupitia G-unit where he thought he will carry on where he left-it did not work out-now he is back kivingine a typical case of mid life crisis
Mkuu bado naamini Mase anauwezo mkubwa kuliko vijana wengi wa sasa ila huku kujichanganya hata mm nakiri simuelewi! Lakini Mase ni mkali kwa wanaofahamu muziki na soko hili bado anaweza kuliteka.
 
Hivi kwanini mtu ukitangaza umeamua kumfuata Yesu haraka watu wanakimbilia kusema umechanganyikiwa?
 
Kaona uchungaji unalipa.

Ni kweli upastor unalipa tena sana kwa sababu malipo yaKe sii pesa bali ni uzima wa milele. Hamkumuona Petro alivyoitwa na Yesu? Kama ambavyo Petro aliyekua mvuvi akaambiwa na Yesu kuanzia leo utakua mvuvi wa watu, ndivyo alivyoambiwa Mason (Mase) kwamba kuanzia sasa hutaongoza tena makundi ya watu kwenda jehanamu kupitia muziki wako bali utawaongoza kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni kupitia Neno la Mungu. Na ndicho anachokifanya sasa. Kweli Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo atukuzwe....na wote wasemeeee....AMEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ni kweli upastor unalipa tena sana kwa sababu malipo yake sii pesa bali ni uzima wa milele. Hamkumuona petro alivyoitwa na yesu? Kama ambavyo petro aliyekua mvuvi akaambiwa na yesu kuanzia leo utakua mvuvi wa watu, ndivyo alivyoambiwa mason (mase) kwamba kuanzia sasa hutaongoza tena makundi ya watu kwenda jehanamu kupitia muziki wako bali utawaongoza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni kupitia neno la mungu. Na ndicho anachokifanya sasa. Kweli mungu wa ibrahim, isaka na yakobo atukuzwe....na wote wasemeeee....amen!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Amen to that Paulo!!!!!..............
 
Ni mmoja wa watu waloteuliwa na mungu kuifanya kazi yake,
ndo maana anenda kwa mungu then anarudi tena kwakua anasita sita nakuonekana anatanga tanga.
Hata yona alifanya kitu hicho chicho ila mwisho wasiku kama mungu kakuchagua utarudi kwake tu ndo ninachohaamini, pia kila jambo na wakati wake, wakati ukifika hakuna kubisha.:A S-omg:
 
In the world of hiphop he is legendary natarajia atakuwa na mahubiri ya aina yake.nitajitahidi kumfatilia maana ana influence kubwa kwa vijana.
 
Back
Top Bottom